Wakaka: Tafuta hela badala ya mke mzuri

Wakaka: Tafuta hela badala ya mke mzuri

Umesema kweli ila ongezea pia kuwa upate demu mzuri ambaye ni pesa mbele upendo nyuma.
 
Kweli kabisa aisee
ila nanyie msije kutuzingua sasa...., siyo tena mnakuja kuwa wavivu wavivu hivi, mnakinai kinai hivi kutuma salam, mnaonaona noma hivi kuwa na shanga kiuononi..... na mengine kama hayo
 
Who said i kno u and had any interests in knowing you ?? Heb sikiza bana....mi sitishiwi nyau sawa ?? We kama hujaelewa my post, nikaushie. I'm not good in arguing.
sawa mkuu.tukaushiane naona hatujadili lugha moja.pia sitoagi vitisho kwa watu.ni kosa la jinai.
 
Back
Top Bottom