Wakaka: Tafuta hela badala ya mke mzuri

Wakaka: Tafuta hela badala ya mke mzuri

'The beautiful ones are not yet born' kuna madogo wakikaa vijiweni kwao. wanadanganyana sana! mara utasikia 'Mimi lazima nipate demu mkali nikipata channel/kazi/biashara' dogo umewahi jiuliza gharama za kuendelea kuutunza uzuri wa huyo demu unayemtaka? au unadhani mtakula huo uzuri?

Umewahi elewa kuwa uzuri unafifia na wazuri wengine wanazidi kuzaliwa? My solid advice tafuta hela za kutosha hizi story za kutafuta hela pamoja na mke sio. ukipata hela utapata aina ya mwanamke umtakaye, pia watakutafuta kuliko wewe kuwasaka bila pesa.ukifanikiwa utafanyakazi ya kuchagua mpwa.

Unaosikia wanahaha mtaani na kuchapiwa ni wale walio kurupuka kuoa na kushindwa kumudu kutunza uzuri wa wake zao wanasaidiwa na wenye visu.So madogolasi kaza buti kipaumbele kiwe hela totoz nzuri tuachie wakubwa zenu,wenu hawajazaliwa bado.

Nice&lovely week end
"..Kwaiyo wawaachie afu badae mtawarudishia mademu wao ama"
 
si wamesema WAKIPATA channel/kazi/biashara [emoji12]
kupata channel/kazi/biashara sio kupata hela.jifunze kutofautisha hela za maana zinahitaji juhudi za ziada.
 
Utatafta hela, utazipata na utachapiwa vile vile.

Principle yangu ni moja tu. Tokea nizaliwe sijawahi date seriously mwanamke ambaye family background yao ya kif*la f*la...yan ukute dem mzuri lakini kwao choka...NEVER, utajuta na kulia sanaa ndugu.

Kuna mwanamke nliwahi kua nae....yuko poa sanaa, msomi, good family backgrounds alitokea kunielewa mnoo nd was very loyal & true to me na kibaba nlikua kawaida tu bado sijaeleweka mjini hapa....kwa sabab flan za distance uhusiano ukafifia na kuisha but we still talk.

If you pick the right material, Hela si chochote kwa mtu anayejielewa muhimu ni nidhamu ya maisha, kujitambua na juhudi basi.
those are very few my broda. in real life wengi wamechoka wanasubiri ukombozi wa vidume.
 
those are very few my broda. in real life wengi wamechoka wanasubiri ukombozi wa vidume.

Wachache kwako ww cz huna exposure. Unaenda kula bata vijiwe vya tandale huko watoto wenye standards utawaonea wapi.

Hata ukiangalia ni 3% ya watu duniani ndio wanao miliki hela nyingi kuliko the rest 97%.
 
mkuu naona nimegusa maslahi yako! unaleta.personality attack badala ya mada.maswala ya mimi kusaka vimwana manzese veepe? shika adabu yako au nipotezee.
 
mkuu naona nimegusa maslahi yako! unaleta.personality attack badala ya mada.maswala ya mimi kusaka vimwana manzese veepe? shika adabu yako au nipotezee.

Personal attack ki vp wakat una elimishwa ?? How is my post a personal attack if i may ask ?? Maslahi yangu ki vp ?? Umesoma my post vyema ukaielewa ?? Do i kno u that far niku attack ??

Heb acha balaa ww... Peleka vitisho vyako kwa watoto mbele huko.
 
Personal attack zipi wakat una elimishwa ?? How is my post a personal attack if i may ask ?? Maslahi yangu ki vp ??

Heb acha balaa ww... Peleka vitisho vyako kwa watoto mbele huko.
mjadala sio vita! unanilisha data zisizo za kweli nizikubali? binafsi sikujui wala.hunijui so siwezi kusema una exposure au unaenda mahala fulani that is illution my broda. dont make such irrational &poor conclusion on other people.
 
Who said i kno u and had any interests in knowing you ?? Heb sikiza bana....mi sitishiwi nyau sawa ?? We kama hujaelewa my post, nikaushie. I'm not good in arguing.
 
Back
Top Bottom