Wajuzi wa Window 7 msaada

Na pia Microsoft wanasitisha operating system zenye 32 bit kwa updates zijazo. Kutakuwa na 64 bit tu. Hata kwa PC zenye 32 bit uki update kwa latest software itakuwa 64.
Pc ya 32bit haiwezi kwenda 64bit ni hardware difference. Na kama ulikuwa na hardware ya 64bit na ukapiga windows ya 32bit ili upate windows ya 64bit ni hadi ufanye clean installation kwa ku format HDD, huwezi ipata kwa updates tu.

Na hio ya microsoft kuto update 32bit bado, wamesitisha tu kuuza 32bit kwa watengeneza pc, ila version ya 32bit bado ipo supported na inapata updates kama kawaida.
 
Kama umefanya backups ya data zako hapana mbaya au kama hauna haja nazo, kuna scenario mbili kubwa na windows kubwa za windows ku fail

Hardware, kama hdd inakaribia kufa au hata kama ukiweka windows upya hiyo kitu itajirudia ndani ya mda mfupi itarudia. Au wkt mwingine kama kuna hardware mpya imekuwa installed.

Software, kama shida ni hii fanya windows upya itakaa sawa.
asisahau kufuta ..old window....

anaweza piga window juu ya window ikaanza kuleta shida zaid
 
Back
Top Bottom