Wajuzi wa sheria naomba mnijuze

swaki la jiti

Member
Oct 6, 2017
97
60
Heshima kwenu wakuu.hivi kesi ambayo imepelekwa mahakamani kusomwa,na kesi hiyo ikawa inaghairishwa kila Siku ya kusomwa kutokana na uchunguz kutokamilika,huwaga inafikia Mara ngapi kama uchunguzi hujakamilika mpaka kesi inafutwa? Natanguliza shukrani.
 
Soma "SECTION 225" na sub sections zake zote kwenye CRIMINAL PROCEDURE CODE
 
Back
Top Bottom