wajuzi wa HTML msaada unahitajika.

g.n.n

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
407
49
najaribu kuadd picture kwenye web page yangu napata ugumu, nimeweza kutumia direct link toka kwa photobucket ambapo ndipo nilipo zisave picture zangu huko, tatizo siwezi kuziresize au hata kuisave kama background picture,
please naomba msaada hapa wa code za kutumia kuadd picture na pia kuweka picture kama background picture kwenye web page.
shukran
 
Shukran, ila nadhani ni width na sio neno uliloliandika.
 
Shukran, ila nadhani ni width na sio neno uliloliandika.

Try it as far as i remember ni hyo as html mostly inatumia american spellings ndoa colour unakuta color, centre inakuwa center yani hivyo
 
Back
Top Bottom