Wajuzi nawezaje ku solve hili tatizo

Wajuzi nawezaje ku solve hili tatizo

FundiNgoma

Senior Member
Joined
Dec 26, 2019
Posts
138
Reaction score
282
IMG_20250403_112608.jpg
 
Computer inawaka ikifika hapo inaganda haiendelei ...
Msaada wenu tafadhari
 
Kuiuza haitakua kazi rahisi labda atafute watu wa Simiyu
Awatafute hao hao awauzie, au akauze kwa mafundi kama chuma chakavu oooops sorry I meant akauze kwa mafundi wachambue vilivyo muhimu kwao na ghasia zitakazobaki zitatupwa.
 
Hiyo ni hadi ubadirishe kioo cha hiyo PC yako.

Hapo opposite na Mlimani City, njia ya kuelekea Bluebird hotel, Mkono wa Kulia Kuna ustaadhi mmoja naona anasaidia kutengeneza PC zikiharibika

Binafsi amenitengenezea PC mbili zilipoharibika.

Try him
 
Ukiwa unawasha bonyeza F2, ama computer nyengine za HP ni F10 uone itaingia bios? Kama inaingia bios ina maana hardware ipo sawa kwa kiasi kikubwa tatizo inaweza kuwa software ama Hdd.
 
Back
Top Bottom