Hapo binafsi naona haiwezekani kwa sababu hizo namba zote ni namba witiri hivyo ukiziweka tatu hata kama utarudia namba fulani mara mbili jibu la mwisho litakuwa namba witiri ilhali jibu linalotafutwa ni namba shufwa. Tusichoshane.
Anko T na Mama ndege
Sifuri ni nini? Maana yake hakuna kitu, namba hasi ni pungufu zaidi ya sifuri.
Sifuri ni nini? Hakuna kitu
Sifuri ni nini? Hakuna kitu
Namba hasi ni nini? Pungufu zaidi ya sifuri
Namba hasi ni nini? Aah
Namba hasi ni nini? Aah
Namba hasi ni nini? We bana huelewi nini
Namba hasi ni nini? Nimekwambia pungufu zaidi ya sifuri. Nimeelewa sasa.
Nimekupa mji Mwanza, kale samaki wazuri, watamu Sato, na huku ukihudumiwa kwa uchangamfu na unyenyekevu, very gently na wanawake wanene wenye roho nzuri na tabia njema
P
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.