Wajumbe wakigawana Mavuno ni rushwa nje nje hii ni hatari kwa Nchi

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
8,551
Reaction score
20,346
GʻT
Hawa wanaonunua uongozi kuna biashara gani wanaenda kufanya huko kwenye ofisi za umma ili pesa zao zirudi. Taifa lipo katika hali mbaya sana chini ya wanamtandao TAKUKURU nao wameng'olewa meno.
 
Halafu hapo eti tutegemee kupata wawakilishi Waziri, humo humo wanapatikana Wabunge watunga Sheria, wanapatikana mawaziri nk. Bunge lenye Wabunge waliopatikana kwa rushwa, Baraza la Mawaziri lenye Mawaziri waliopatikana kwa rushwa tutarajie mapya gani zaidi ya wizi na ubadhirifu wa mali ya umma??

Kati ya Idara za Serikali ambazo ni hopeless ni TAKUKURU. Tunawalipa mishahara kwa Kodi zetu lakini ukiangalia rushwa inavyoliangamiza Taifa, na bado wapo wanatanua kwa Kodi zetu, unaona bora hata isingekuwepo. Tunapigwa mara mbili.
 
Hovyo kabisa hii ni hatari kwa usalama wa nchi
 
Back
Top Bottom