... unaambiwa wao wanaondoka kwa kuwa hajapewa rushwa? hakuna demokrasia hukoTuache demokrasia ichukue mkondo wake, kwani kuondoka kwao wajumbe hao kunamaanisha kwamba hakuna demokrasia huko wanakotoka? Kwangu mimi demokrasia ni pamoja na mtu kuchagua chama anachokipenda kwa sera na mipango yake mizuri ya kuendeleza taifa hili, hongereni sana wazee wa mwenge mmetumia haki yenu ya kidemokrasia vizuri, hakuna haja ya kuona kuwa huko walikotoka ni kubaya au walikokwenda ndio kuzuri, utamu wa pipi mate yako na hali ya mdomo ulivyoamka siku hiyo.
Wajumbe wa ccm mwenge mkoani Dar-es-salaam watishia kujiuzulu nafasi zao kisa mizengwe na rushwa kwenye uchaguzi.
Source:ITV habari za saa.
nape anadai walikuwa mbioni kuwaandikia barua za kuwatimua katika mpango wa chama wa kujivua gamba