Wajumbe 25 kati ya 32 wa kamati kuu ya CCM

Pinda na Bilali wamesusia vikao......

.
Hivi hatma ya Bilal ni nini baada ya October 25?
Amenyanganywa umakamu wa rais na kukabidhiwa mwanamke Suluhu.
mbona utaratibu wa kukalia ofisi vipindi viwili haukufuatwa kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wake? Maana shein alihudumu kipindi kimaja na mkapa na kumalizia kipindi cha pili na Kikwete.
Shein amezikwa kisiasa na jk akiwa bado hai. ipokee pole yangu mh shein ktk kaburi walilokuzika kisiasa ukiwa hai.
.
 
Sasa kama ulionekana huna maadili sasa ushiriki vikao kwa nn?inakua unafki sasa
 
.
Hivi hatma ya Bilal ni nini baada ya October 25?
Amenyanganywa umakamu wa rais na kukabidhiwa mwanamke Suluhu.
mbona utaratibu wa kukalia ofisi vipindi viwili haukufuatwa kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wake? Maana shein alihudumu kipindi kimaja na mkapa na kumalizia kipindi cha pili na Kikwete.
Shein amezikwa kisiasa na jk akiwa bado hai. ipokee pole yangu mh shein ktk kaburi walilokuzika kisiasa ukiwa hai.
.

Sasa aliyezikwa ni shein au bilal sasa?mbona hueleweki
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida katika kikao cha kamati KUU ya CCM kinachoendelea mjini Dodoma kimehudhuriwa na wajumbe wachache(25 kati ya 32) bila maelezo kutolewa, mbaya zaidi ndani ya hao 25 waliohudhuria wapo wajumbe waliokuwa wanamuunga mkono E.L, mfano Emmanuel Nchimbi na Kingunge

Hizi ni ishara za nyakati za maanguko ya SISEMU. Kama Sauti ya Umaa hawaisikii na kuitii basi wasubiri kuzikwa #oct25
 
Namuhurumiaje Mwenyekiti Ngoja Mie Niende Mazishini Usangi Mzee Peter Kisumo Alikuwa Rollymodel Wangu Nasikia Jk Na Eddo Watakuwepo Live Na Watakuja Na Chopa La Mzee Ndessa Tena Watakaa Siti Moja
 
"CCM bado ipo imara. Na tutashinda kwa kishindo mwaka huu.
Tulieni kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaa"
 
Back
Top Bottom