Wajumbe 25 kati ya 32 wa kamati kuu ya CCM

Edoedward1

JF-Expert Member
Apr 20, 2012
795
308
Katika hali isiyokuwa ya kawaida katika kikao cha kamati KUU ya CCM kinachoendelea mjini Dodoma kimehudhuriwa na wajumbe wachache(25 kati ya 32) bila maelezo kutolewa, mbaya zaidi ndani ya hao 25 waliohudhuria wapo wajumbe waliokuwa wanamuunga mkono Lowassa.

mfano Emmanuel Nchimbi na Kingunge.
 
[Nilip9ziangalia nyuso zinaongea tofauti na nyoyoQUOTE=Edoedward1;13598994]Katika hali isiyokuwa ya kawaida katika kikao cha kamati KUU ya CCM kinachoendelea mjini dodona kimehudhuriwa na wajumbe wachache(25 kati ya 32) bila maelezo kutolewa..mbaya zaidi ndani ya hao 25 waliohudhuria wapo wajumbe waliokuwa wanamuunga mkono E.L, mfano Emanuel Nchimbi na Kingunge[/QUOTE]
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida katika kikao cha kamati KUU ya CCM kinachoendelea mjini dodona kimehudhuriwa na wajumbe wachache(25 kati ya 32) bila maelezo kutolewa..mbaya zaidi ndani ya hao 25 waliohudhuria wapo wajumbe waliokuwa wanamuunga mkono E.L, mfano Emanuel Nchimbi na Kingunge

Acha kupotosha,Kingunge sio mjumbe wa KK!
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida katika kikao cha kamati KUU ya CCM kinachoendelea mjini Dodoma kimehudhuriwa na wajumbe wachache(25 kati ya 32) bila maelezo kutolewa, mbaya zaidi ndani ya hao 25 waliohudhuria wapo wajumbe waliokuwa wanamuunga mkono E.L, mfano Emmanuel Nchimbi na Kingunge

Wameshaisoma namba
 
Hiyo ndiyo idadi kamili ya wajumbe wa CC waliyomchinja Lowassa kama huna kumbukumbu nzuri.
 
Wajumbe 25 kati ya 32 ni sawa na 78% Kwa hiyo si wachache. Akidi imetimia na nikao halali ambacho maazimio yake pia ni halali.
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida katika kikao cha kamati KUU ya CCM kinachoendelea mjini Dodoma kimehudhuriwa na wajumbe wachache(25 kati ya 32) bila maelezo kutolewa, mbaya zaidi ndani ya hao 25 waliohudhuria wapo wajumbe waliokuwa wanamuunga mkono E.L, mfano Emmanuel Nchimbi na Kingunge

umesahau na Sofia Simba,Adam kimbisa na Jakaya Kikwete
 
Hiyo ndiyo idadi kamili ya wajumbe wa CC waliyomchinja Lowassa kama huna kumbukumbu nzuri.

Mkuu huna kumbukumbu au akili umeshikiwa na mmeo? Lowassa alichinjiwa baharini na kamati ya maadili kwenye kamati kuu jina halikufika ndo maana akina Emma, Adam na Sophy walipiga kelele! Jina lingefika kwenye hii kamati sasa hivi tungekuwa tunaongea mengine!!
 
Kama hujui jambo uliza.mahudhurio yamekuwa hivyo kwa sababu Wajumbe wengine wa KAMATI KUU walichukua fomu kugombea katika Uraisi ama Ubunge Kwa hio hio hawawezi kushiriki kwenye kikao hicho tena kujadili Wagombea wakati yeye alikuwa mgombea. CCM ni Taasisi kubwa.
 
Vipi wasira au haukumuona
 
Ulimwona Kkwete alivyohemka wakati wa ufunguzi?
Baada ya Kinana kusoma akidi,JK kasema ''endeleeni,kikao kimefunguliwa'' utafikiri amestuliwa na kuhamaki!
Kwanza akiangalia anamwona Kimbisa,Shamsa,Nchimbi n.k ! Utajadili kitu gani hapo kwa afya ya ccm kisiifikie CHADEMA aliko bosi Edward?
Its real frustrating!
 
Back
Top Bottom