mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
Bas watakuwa kama ishirin hiv, mwenyekit alikuwa anatia huruma mnyonge,ana hasira..inshort he looks stressed up
Na ameweka zaidi kwa gafla! Bila shaka anajiuliza "hivi Lowasa akiingia ikulu wakati nimejjtahidi kumzibia itakuwaje! "
Nimsaidie jibu, uwe mpole tu jamaa kasema hadharani hata lipia kisasi! Ila angalizo: msimpige mabomu! Mkimpiga mabomu piga ua lazima atakushughulikia na uko wako wote! Maana piga ua lazima ataingia ikulu! Hii ni kwa sababu mbili:
1. Kundi kubwa linalompenda Lowasa hata kama akipakwa matope namna gani!
2. Kundi kubwa linaloichukia ccm hata kama ukiisifia ccm namna gani! Hii chuki inaongezeka kukua hasa kutokana na matusi yanayotolewa kwa watu wanaoshiriki maandamano ya kumsapoti Lowasa! Wanawabeza boda boda, mama lishe na kuwaita watu wote walioshiriki kuwa ni vibaka!