Kivipi nakati juzi mlisema aliyefukuzwa ni mipango ya serikali aligomea teuzi ya Rais, kaja huyu kamkingia kifua pia mnasema serikali inawatetea sasa mpo upande upi?
Shida ya wabongo ndohiyo kama ya kwako huwa wanalalamika bila fact, ebu toa material fact ili watu wakuelewe, weka na vifungu vya kisheria ikiwemo kesi zilizowahi kuendeshwa mahakamani ili uwe na uzito wa hoja yako kuwa cwt ni ccm siyo unaongea tu kufata mkumbo ili upedwe na kundi la watu wanyonge
Ebu tuambie ubaya wa CWT Kwa vidhibitisho, iwe video, gazeti, decided case au ACT yoyote Ile ambayo wameivunja hapo mimi nitakuelewa maana usiwe kama Halima mdee wa Jana akawa anahaha tu kulaani mkataba akiulizwa ubaya upo Wapi anasema anaona mbali