Wajue wanawake matahira

Wajue wanawake matahira

Unafahamu kuwa utaahira ni aina ya ulemavu Wa akili?
( intelligence disorder, mental retardation)
Katika sheria ya watu wenye ulemavu ( disability act 2010 ya Tanzania), matamko mbali mbali ya haki za watu wenye ulemavu , si sawa kumtambua mwenye ulemavu kwa kumkebehi na kumdhalilisha kutokana na hali yake hiyo tena utaahira ni hali ya kuzaliwa nayo ambapo muhusika hana option awe hivyo au asiwe.
Nadhani neno sahihi kwa ulio wa address kwenye Uzi wako halikupaswa kuwa utaahira bali upumbavu au neno jingine la kiswahili lisiloashiria ulemavu.
Kwa niaba ya watu wenye ulemavu hasa walemavu Wa akili ambao kisheria wametambulika haki zao kusimamiwa na wasio na ulemavu huo, naomba wadau mjitahidi kutumia neno mbadala kuweza kumuaddress MTU mwenye matendo yanayoashiria kupungikiwa common sense na sio taahira....
Naomba kuwasilisha.
Habari za wakatii huu wadau.
Nimeipata sehemwu nikaona sio mbaya nijashea nanyi mkupata kujua wanawake walivyo watu wa ajabu....

1. Anaevaa mini-skirt halafu akikaa mahali anahangaika kujiziba magoti huyo nae ni.....Taahira!
2. Anaetoa mimba kisha analala na midoli huyo nae ni....Taahira!
3. Anaedate na mume wa m2 miaka nenda rudi, na kuwakataa wanaotaka kumuoa huyo nae ni..........Taahira!
4. Anaeweka nywele bandia, kucha bandia,kope bandia akiambiwa amependeza anasema Ahsante, huyo nae ni......Taahira!
5. Mwanamke ambae hamilik hata kitanda lakin anataka mwanaume mwenye gari huyo nae ni....Taahira!
6. Atakaesoma post hii kisha akatoa mapovu badala ya kubadilika wakati anaelimishwa huyo nae ni......Taahira.

Nawakilisha

God save us
 
Unafahamu kuwa utaahira ni aina ya ulemavu Wa akili?
( intelligence disorder, mental retardation)
Katika sheria ya watu wenye ulemavu ( disability act 2010 ya Tanzania), matamko mbali mbali ya haki za watu wenye ulemavu , si sawa kumtambua mwenye ulemavu kwa kumkebehi na kumdhalilisha kutokana na hali yake hiyo tena utaahira ni hali ya kuzaliwa nayo ambapo muhusika hana option awe hivyo au asiwe.
Nadhani neno sahihi kwa ulio wa address kwenye Uzi wako halikupaswa kuwa utaahira bali upumbavu au neno jingine la kiswahili lisiloashiria ulemavu.
Kwa niaba ya watu wenye ulemavu hasa walemavu Wa akili ambao kisheria wametambulika haki zao kusimamiwa na wasio na ulemavu huo, naomba wadau mjitahidi kutumia neno mbadala kuweza kumuaddress MTU mwenye matendo yanayoashiria kupungikiwa common sense na sio taahira....
Naomba kuwasilisha.
Asante mkuu japo na ww inasemekana umekatwa mkia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom