Wajue wanawake matahira

Habari za wakatii huu wadau.
Nimeipata sehemwu nikaona sio mbaya nijashea nanyi mkupata kujua wanawake walivyo watu wa ajabu....

1. Anaevaa mini-skirt halafu akikaa mahali anahangaika kujiziba magoti huyo nae ni.....Taahira!
2. Anaetoa mimba kisha analala na midoli huyo nae ni....Taahira!
3. Anaedate na mume wa m2 miaka nenda rudi, na kuwakataa wanaotaka kumuoa huyo nae ni..........Taahira!
4. Anaeweka nywele bandia, kucha bandia,kope bandia akiambiwa amependeza anasema Ahsante, huyo nae ni......Taahira!
5. Mwanamke ambae hamilik hata kitanda lakin anataka mwanaume mwenye gari huyo nae ni....Taahira!
6. Atakaesoma post hii kisha akatoa mapovu badala ya kubadilika wakati anaelimishwa huyo nae ni......Taahira.

Nawakilisha

God save us
Mkuu umetisha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwanaume unaacha kazi na kuwaza wanawake huoo ni : ufwahillaaaaa :D:D:D:D
 
aliezaliwa kijijini hajawahi hata kupanda gari mpaka alipokuja mjini lakini anataka mwanaume mwenye gari nadhani huyu ni mkuu wa matahaira wote duniani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom