Aina ya mwanamke mpumbavu

Aina ya mwanamke mpumbavu

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,709
Reaction score
35,712
1:Anaevaa sketi fupi alafu akifika mbele za watu anahangaika kuishusha huyo ni MPUMBAVU.

2:Anaeweka kucha bandia nywele bandia kope bandia na anaejichubua wote ni WAPUMBAVU.

3: Anaesaliti ndoa yake nakwenda kwa mchepuko kwakigezo cha pesa huyo ni mwanamke MPUMBAVU.

4: Anaetoa siri za mume wake mbele ya mashoga zake Huyo ni MPUMBAVU.

5: Anaekimbia ndoa yake kwakigezo cha ugumu wa maisha huyo NIMPUMBAVU.

6:Mwanamke mwenye gubu kwa mume wake kila siku kulalamika bila kutafakari kuwa mwanaume ni nguzo ya familia anapaswa kunyenyekewa huyo ni MPUMBAVU.

7:Mwanamke anaeenda kwenye mitandao kuangalia mapishi ili aje akupikie wewe mume wake huyo ni MPUMBAVU.

8:Mwanamke anaemzarau mumewake nakumjali mchepuko anaempa 20,000 kwa siku huyo ni MPUMBAVU.

9:Mwanamke aliye tayali kutelekeza watoto na familia kwaajili ya mchepuko huyo NIMPUMBAVU..

10: Anaeongeza maziwa na makalio ili aonekane mdogo kimaumbile huyu nae NIMPUMBAVU...
#falsafa
Itaendelea..............

UTAFITI UNAONYESHA KATI YA NDOA 10 NDOA 6 NIZILE ZENYE MIGOGORO MIKUBWA INAYOSABABISHWA NA MWANAMKE MWENYE GUBU NA ASIYESIKILIZA KAULI NA KUMUHESHIMU MUMEWAKE.
Screenshot_20210228-104829_Facebook.jpg
 
1:Anaevaa sketi fupi alafu akifika mbele za watu anahangaika kuishusha huyo ni MPUMBAVU.

2:Anaeweka kucha bandia nywele bandia kope bandia na anaejichubua wote ni WAPUMBAVU.

3: Anaesaliti ndoa yake nakwenda kwa mchepuko kwakigezo cha pesa huyo ni mwanamke MPUMBAVU.

4: Anaetoa siri za mume wake mbele ya mashoga zake Huyo ni MPUMBAVU.

5: Anaekimbia ndoa yake kwakigezo cha ugumu wa maisha huyo NIMPUMBAVU.

6:Mwanamke mwenye gubu kwa mume wake kila siku kulalamika bila kutafakari kuwa mwanaume ni nguzo ya familia anapaswa kunyenyekewa huyo ni MPUMBAVU.

7:Mwanamke anaeenda kwenye mitandao kuangalia mapishi ili aje akupikie wewe mume wake huyo ni MPUMBAVU.

8:Mwanamke anaemzarau mumewake nakumjali mchepuko anaempa 20,000 kwa siku huyo ni MPUMBAVU.

9:Mwanamke aliye tayali kutelekeza watoto na familia kwaajili ya mchepuko huyo NIMPUMBAVU..

10: Anaeongeza maziwa na makalio ili aonekane mdogo kimaumbile huyu nae NIMPUMBAVU...
#falsafa
Itaendelea..............

UTAFITI UNAONYESHA KATI YA NDOA 10 NDOA 6 NIZILE ZENYE MIGOGORO MIKUBWA INAYOSABABISHWA NA MWANAMKE MWENYE GUBU NA ASIYESIKILIZA KAULI NA KUMUHESHIMU MUMEWAKE.View attachment 1714477
7 unawaonea tu,kwan ubaya?Nawe mtoa mada ni mpumbavu pia😁
 
7:Mwanamke anaeenda kwenye mitandao kuangalia mapishi ili aje akupikie wewe mume wake huyo ni MPUMBAVU.

Sidhani hapa kama umetenda haki kumuita mwanamke anayetafiti aina ya mapishi kwenye mitandao kwamba ni nmpumbavu. Huyu ni mwanamke mwerevu anayetaka kujifunza. Hapo jitafakari kidogo maana inawezekana umeleta huu uzi kwa hasira ya uliyofanyiwa na hawa wanawake.
 
Tuambie na wadada tujue kabla ya kujitumbukiza kwenye ndoa
 
no 7. kwa hiyo hata sie tunaosoma mambo mazuri kutoka mtandao wa JF na kuyafanyia kazi ni wapumbavuuuuuu 🤣 🤣
 
1:Anaevaa sketi fupi alafu akifika mbele za watu anahangaika kuishusha huyo ni MPUMBAVU.

2:Anaeweka kucha bandia nywele bandia kope bandia na anaejichubua wote ni WAPUMBAVU.

3: Anaesaliti ndoa yake nakwenda kwa mchepuko kwakigezo cha pesa huyo ni mwanamke MPUMBAVU.

4: Anaetoa siri za mume wake mbele ya mashoga zake Huyo ni MPUMBAVU.

5: Anaekimbia ndoa yake kwakigezo cha ugumu wa maisha huyo NIMPUMBAVU.

6:Mwanamke mwenye gubu kwa mume wake kila siku kulalamika bila kutafakari kuwa mwanaume ni nguzo ya familia anapaswa kunyenyekewa huyo ni MPUMBAVU.

7:Mwanamke anaeenda kwenye mitandao kuangalia mapishi ili aje akupikie wewe mume wake huyo ni MPUMBAVU.

8:Mwanamke anaemzarau mumewake nakumjali mchepuko anaempa 20,000 kwa siku huyo ni MPUMBAVU.

9:Mwanamke aliye tayali kutelekeza watoto na familia kwaajili ya mchepuko huyo NIMPUMBAVU..

10: Anaeongeza maziwa na makalio ili aonekane mdogo kimaumbile huyu nae NIMPUMBAVU...
#falsafa
Itaendelea..............

UTAFITI UNAONYESHA KATI YA NDOA 10 NDOA 6 NIZILE ZENYE MIGOGORO MIKUBWA INAYOSABABISHWA NA MWANAMKE MWENYE GUBU NA ASIYESIKILIZA KAULI NA KUMUHESHIMU MUMEWAKE.View attachment 1714477

pitia vizur namba saba boss
 
Mwanaume anae kaa kuwasema wanawake wakati yeye mwenyewe familia yake inamshinda kutoa basic needs ni Mpumbavu
 
Nafikir mkaoe wanawake sayari ya mars km ni ivo.
 
Back
Top Bottom