Wajue Wafilisti/Wapalestina

Wajue Wafilisti/Wapalestina

Mungu wa Israel si Mungu wa AMANI na Upendo kwa viumbe aliowaumba yeye mwenyewe!!!
 
Wafilisti ni watu walioishi Kaanani ambao waliokuwa maadui wakubwa sana wa Israeli enzi za agano la Kale. Hawa walikuwa ni kundi mojawapo la wenyewe wa nchi ile kabla ya Israeli kuifikia kutoka Misri.

Lakini wana wa Israeli walipokiuka maagizo ya Mungu ya kuwaua wenyeji wote wa miji ile yaliyoikuta,ili wamiliki, wao wakazembea hawakuwaua wote, kinyume chake wakawabakisha baadhi yao ikiwemo hawa wafilisti na ndio hao baadaye wakaja kuwa mwiba mkubwa sana kwao kama vile Mungu alivyowaambia.

Kipindi baada ya kipindi walikuwa wakiwashambulia waisraeli, na walipomlilia Mungu, (Waamuzi 10:7-8 ), basi Mungu aliwanyanyulia waamuzi wa kuwaokoa kutoka katika mateso yao, mfano Samsoni.

Wafilisti kwasasa ndio Wapalestina, unaowasikia pale mashariki ya kati, jina hilo lilizaliwa kutoka katika lugha ya wagiriki, ambao waliwaita wafilisti wapalestina. Na ndio mpaka sasa limezoeleka hivyo.

Wafilisti ni nchi gani?

Kama tulivyoona wafilisti ni watu waliokutwa Kaanani kabla ya wana wa Israeli, lakini sio taifa au nchi. Japokuwa enzi zile walikuwa na miji yao mikuu mitano nayo ni.

  1. Gaza,
  2. Ashdodi,
  3. gathi,
  4. Ashkeloni, na
  5. Ekroni
(1Samweli 6:17, Yoshua 13:3).

Walikuwa na wakuu/Wafalme wao watano pia kila mmoja na mji wake soma (Waamuzi 3:3). Sasa Miji hii yote ilikuwa kusini magharibi mwa taifa la Israeli.

Lakini Habari za wafilisti zinatufundisha nini?

Yapo mambo ambayo Mungu anaweza kutuagiza kufanya yakayazembea na madhara yake yakawa mpaka vizazi vya baadaye, kama vile tunavyoona hawa wafilisti/Wapalestina, hawakuwa mwiba tu kwa Israeli wakati ule..Bali hata sasa ni mwiba mkali sana..Kama wewe ni mfuatiliaji wa diplomasia za kimataifa utaweza kufahamu ni kitu gani kinaendelea pale Israeli saa hii , kila kukicha ni machafuko.

Hivyo tuwe makini sana na maagizo ya Mungu, anayotuagiza tusiyapuze hata kidogo,.

View attachment 1792182
Uzi umeisha tayari.. si bora ungetuma voice note tu
 
Sahihi kabisa upo vizuri

Mambo ya imani bhanaa
yaani Mungu kaumba binadamu kisha anawachukia bila sababu kisha anatamani wafe wooteee
ajabu hawafi
yaani kwa lugha rahisi aliewaumba kashindwa kuwauaa
 
Kama Mungu hakuwataka Wayebusi wawepo, kwanini aliwaumba? Kama aliwaumba ili wauawe na Daudi, upendo wake uko wapi?

Wewe unadhani mbele ya Mungu upendo wake kwako ni maisha yako tu hapa duniani???
 
Crazy God ever heard,yaani huyo Mungu ni wazimu na hafai yaani alijichagulia kakikundi ka wanywa mvinyo kutoka uru ya walkadayo na kuwapa mamlaka wanyang'anye ardhi ya watu kwa sharti et awaue wakazi wote hadi watoto na wanawake
Katili Sana huyo YHW Mungu wa islael aisee hivi kwanini asingewaongoza hao watu wake waje kusini ya misri nikimaanisha huku east Africa ambako kulikua na ardhi ya kutosha wakaja fyeka mapori na kutengeneza nchi mbaka akaamua kuwapeleka sehemu ya makazi ya watu wasababishe Vita na umwagaji damu ?
Fyeka Waamori,wagirgash,wafilisti,
wahivi,waakron na wengine wengi ili apole ardhi aiseee

Hizi dini za mashariki ya Kati na huyo Mungu wao ana walakini waafrika tuamke tuachane na huyo Mungu hafai kabisa
NB miungu yetu waafrika ilikua ya upendo Sana kabla hawa kenge kutoka middle East kuja kuharibu bongo za babu babu zetu,mwanzo walikua wanaishi kwa ushirikiano na upendo mkubwa ila hawa wavaa kobazi,kanzu na vilemba walipotua tu na majahazi yao biashara za kuuza watu zikaanza!
Walipokuja wagalatia ndio mweeee walitugawa kimakundi kabisaaaaaa

Wake up you black race!
Tunapigwa kamba!
Miungu ya kiafrika ndio ya ki*nge kabsa ya kuabudu miti ni upuuzi ambao haufai hat kusimulia watot wetu. Tukubali tu mababu zetu walikuwa na uwezo mdgo wa kufikir ndoman tukatawaliwa na kuletewa dini za mashariki ya kati.
Wakati sis dhahabu tunachezea draft wenzet tayar walkuw na viwanda vya kuchakata.
Can you Imagine mzungu anakuja Afrika anatukta bado tuko uchi kama Adam na Hawa it means tulishindwa kwend na wakat. Wazee wetu waliridhika za mazingira hawakutak kutafta changamot na kufkiria zaid.
 
kwa hiyo ndugu huyo Mungu muweza wa yote alishindwaje kuwabadilisha hao makabila washenzi ili waifute njia njema?
Kwanini alishindwaje kuwapiga mkwara kwa ishara kuu ili wabadilike Kama walikua hawaamini katika Mungu YHW
Kwa ishara kuu kabisa ilitosha kuwabadilisha hao watu waachane na miungu wengine hapo wa kulaumiwa Nani Kati ya kutokujua kwao na huyo Mungu?

Nauliza tu mkuu!
Mungu hashauriwi wala haamuliwi. Ushawai kujiuliza kwann wew usingekuwa Messi alaf Messi akawa wew. Anafany kwa mapenzi yake mwenyw na ana haki ya kufany ivo kwasbb yey ndo alieviumba.
Ivi wew ukichukua ela yako ya mshahara ukaichoma moto jiran yako anaingia hasar gan. Hana haki yyte kweny iyo hela kwasbb hajaitolea jasho
 
Mnazidi kuwamegea tu shavu, inamaana wengine wote wakimkosea mungu waangamizwe na watoweke Ila waisrael tu ndo hupewa nafasi baada ya kuazibiwa?, pengine Palestine nao waliazibiwa na wakapewa nafasi ya Israel kuondoka kaanan Tena, mmi naamin mungu hutoa nafasi ya msamaha kwa watu wake wote na so kwa waisrael pekee , haiwezekani kizaz Cha palestina kipotee duniani...ok naskia kunamkataba gan sijui unaazimia kuifuta palestina dunian uliazimiwa Karne ya 20 mwanzoni, hivi ni kwel upo? Wajuvi mnijuze
Uko sahihi lakin kumbuka historia huwa inaishi milele.
MFANO;
Kuna kazi mtu huwez kuajiriwa kwababu ulishawai kuuwa.
Pengine uliuwa kwa bahat au makusudi na sasa ivi umekuwa mtu mwema hauna mambo maovu. Lakin ukija kweny iko kipengele kam ulishawai kuuwa ghafla watu wanashtuka na kuanza kukuwekea walakini ???
Ndiomaana sometimes Allah/Mungu huwa anatuhukumu kutokana na makosa waliyofanya wazazi wetu au watangulizi wetu.
Kama Ilivyo kwa Adam na Hawa. waliambiwa watakula kwa jasho Hawa atazaa kwa uchungu na wote watayarudia mavumbi sas izo laana walizopewa zinatutafuna mpaka sis leo.
 
Kwa nini Mungu muweza wa yote anapata shida saana kuwarudisha wanadam ktk njia sahihi wakati kawaumba yeye mwenyewe.? Si angeagiza tu kuanzia sasa ufahamu wa maovu ondoka...! Teyari pakawa na amani anayoitaka.
Mungu amemuumba Mwanadam kampa na Akili ya kujua mbivu na mbichi. Kwahy ni maamuzi tu ambay Israel na Palestina wanatakiwa wakae waangalie kam vita vinawanufaisha au haviwanufaishi
 
Miungu ya kiafrika ndio ya ki*nge kabsa ya kuabudu miti ni upuuzi ambao haufai hat kusimulia watot wetu. Tukubali tu mababu zetu walikuwa na uwezo mdgo wa kufikir ndoman tukatawaliwa na kuletewa dini za mashariki ya kati.
Wakati sis dhahabu tunachezea draft wenzet tayar walkuw na viwanda vya kuchakata.
Can you Imagine mzungu anakuja Afrika anatukta bado tuko uchi kama Adam na Hawa it means tulishindwa kwend na wakat. Wazee wetu waliridhika za mazingira hawakutak kutafta changamot na kufkiria zaid.
wewe nahisi ni mwanaume wa dar,hebu njoo huku Nyumbanitu Njombe uone hiyo miungu ya kiafrica inavyofanya kazi,halafu wewe unaitusi nahisi huijui vizuri ndugu

Halafu hiyo babu zetu kutokua na maendeleo haina uhusiano na point yangu kua kabla ya hao watu kuja na dini zao kutoka middle East waliwakuta hao wakaa uchi walikua na ushirikiano na hawabaguani ila kupitia dini zao za kuja wakasababisha matabaka
Au ulikimbia topiki ya Ujima inayoelezea waafrika kabla ya kuja ngozi nyeupe?
 
Kama iyo Miungu ingekuwa inawasaidia pengne njombe ingekuwa sehem yeny maendeleo zaid Tz lakn ni miongon mwa mikoa yeny hali duni.

Kiufupi me nyumban Dar ila nna asili ya mbeya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom