Wajue Wafilisti/Wapalestina

Wajue Wafilisti/Wapalestina

Agano la Kale linaonyesha kwamba Wafilisti waliabudu miungu mitatu: Ashtorethi, Dagoni, na Baal-Zebubu-kila mmoja alikuwa na madhabahu katika miji mbalimbali (Waamuzi 16:23, 1 Samweli 31:10; 2 Wafalme 1:2). Matokeo ya akiolojia yanaonyesha kuwa askari wa Wafilisti walibeba sanamu za miungu yao katika vita (2 Samweli 5:21). Inaonekana, pia walikuwa watu washirikina

Wakanaani, walikuwa wamemkataa Mungu na sheria yake. Kulikuwa na mashahidi katika nchi hiyo kwa Wakanaani: Ibrahimu, Isaka, Yakobo, na familia zao. Walikuwa watu waliomfuata Bwana. hawakuwa wasio na hatia; Wakanaani walikuwa wamefilisika kimaadili na hawawezi kubadilika katika uovu wao.

Israeli walikuwa watu waliochaguliwa na Mungu, haki ya Bwana ilitumika kwao kama inavyotumika kwa mataifa mengine. Haki ya Mungu haionyeshi upendeleo. Katika Kumbukumbu la Torati 20:18, Bwana aliwaambia Israeli kuwa moja ya sababu za msingi kwamba jeshi lake lilikuwa kuangamiza mataifa mengi mbele yao ni ili wasiwafundishe kufanya kulingana na tabia zao zote za kuchukiza ambazo kuabudu miungu yao. na kuwafanya wamtendee dhambi Bwana.
kwanini leo hii hatuui wabudha, wachina , wahindu, wahindi, masinga singa whats changed??
 
MUNGU SIO DIKTETA AKULAZIMISHE UMUABUDU KINGUVU

Halafu watu hawabadiriki kwa ishara

Mathayo 12:38-41 BHN​

Kisha baadhi ya waalimu wa sheria na Mafarisayo wakamwambia Yesu, “Mwalimu, tunataka kuona ishara kutoka kwako.” Naye akawajibu, “Kizazi kiovu kisicho na uaminifu! Mnataka ishara, lakini hamtapewa ishara isipokuwa ile ishara ya nabii Yona. Jinsi Yona alivyokaa siku tatu kutwa kucha tumboni mwa nyangumi, ndivyo naye Mwana wa Mtu atakavyokaa ndani ya ardhi siku tatu kutwa kucha. Watu wa Ninewi watatokea wakati wa hukumu, nao watakihukumu kizazi hiki kwamba kina hatia. Maana Waninewi walitubu kwa sababu ya mahubiri ya Yona, na kumbe hapa kuna kikuu kuliko Yona!
then why did he order them to kill Palestinians if he don't force nobody to praise him??
 
Wafilisti ni watu walioishi Kaanani ambao waliokuwa maadui wakubwa sana wa Israeli enzi za agano la Kale. Hawa walikuwa ni kundi mojawapo la wenyewe wa nchi ile kabla ya Israeli kuifikia kutoka Misri.

Lakini wana wa Israeli walipokiuka maagizo ya Mungu ya kuwaua wenyeji wote wa miji ile yaliyoikuta,ili wamiliki, wao wakazembea hawakuwaua wote, kinyume chake wakawabakisha baadhi yao ikiwemo hawa wafilisti na ndio hao baadaye wakaja kuwa mwiba mkubwa sana kwao kama vile Mungu alivyowaambia.

Kipindi baada ya kipindi walikuwa wakiwashambulia waisraeli, na walipomlilia Mungu, (Waamuzi 10:7-8 ), basi Mungu aliwanyanyulia waamuzi wa kuwaokoa kutoka katika mateso yao, mfano Samsoni.

Wafilisti kwasasa ndio Wapalestina, unaowasikia pale mashariki ya kati, jina hilo lilizaliwa kutoka katika lugha ya wagiriki, ambao waliwaita wafilisti wapalestina. Na ndio mpaka sasa limezoeleka hivyo.

Wafilisti ni nchi gani?

Kama tulivyoona wafilisti ni watu waliokutwa Kaanani kabla ya wana wa Israeli, lakini sio taifa au nchi. Japokuwa enzi zile walikuwa na miji yao mikuu mitano nayo ni.

  1. Gaza,
  2. Ashdodi,
  3. gathi,
  4. Ashkeloni, na
  5. Ekroni
(1Samweli 6:17, Yoshua 13:3).

Walikuwa na wakuu/Wafalme wao watano pia kila mmoja na mji wake soma (Waamuzi 3:3). Sasa Miji hii yote ilikuwa kusini magharibi mwa taifa la Israeli.

Lakini Habari za wafilisti zinatufundisha nini?

Yapo mambo ambayo Mungu anaweza kutuagiza kufanya yakayazembea na madhara yake yakawa mpaka vizazi vya baadaye, kama vile tunavyoona hawa wafilisti/Wapalestina, hawakuwa mwiba tu kwa Israeli wakati ule..Bali hata sasa ni mwiba mkali sana..Kama wewe ni mfuatiliaji wa diplomasia za kimataifa utaweza kufahamu ni kitu gani kinaendelea pale Israeli saa hii , kila kukicha ni machafuko.

Hivyo tuwe makini sana na maagizo ya Mungu, anayotuagiza t

Mimi sikuumba!
Uumbaji na ulezi ni tofauti
Huyu jamaa bwana mbona sis binadamu tuu sio perfect ila kwa upendo tulionao kwa ubinadamu wetu mtu hawezi kumuua mwanae kwa sababu amekataa kumuita baba au mama
 
sasa mambo ya mpende adui yako kama unavyojipenda wewe si Mungu alisema kupitia mwana Yesu kristu Swali kubwa na gumu ilikuwaje Mmungu huyu huyu aamrishe wengine wawaue halafu tena aje kusema mbeleni mpende adui yako??
mkuu huyo Mungu wa wayahudi ni kigeu geu Sana yaani Kuna Muda haeleweki anataka Nini!
Anatabia ya kujilaumu baada ya kufanya tukio mfano kitabu Cha mwanzo kinasema alijilaumu kwanini alimuumba mwanadamu
Na akasema roho yake haitashindana na mwanadamu akawapunguzia miaka ya kuishi kutoka miaka elfu,mbaka miaka 100 tu
Tena Kama haitoshi alipowaangamiza na gharika la nuhu akajilaumu Tena kwamba hatakuja kuangamiza raia hata wakimkosea
Alivyo kichwa panzi akaja Tena kuwachoma na Moto watu wake sodoma na gomora akawa kavunja Tena kiapo chake
Cha kutoangamiza raia

Alivyo msahaulifu Tena akawaagiza wana wa islael wawafyeke Tena zaidi makabila ya kaanani
Yaani ni full contradictions

Mungu gani huyo kigeu geu!
 
Wafilisti ni watu walioishi Kaanani ambao waliokuwa maadui wakubwa sana wa Israeli enzi za agano la Kale. Hawa walikuwa ni kundi mojawapo la wenyewe wa nchi ile kabla ya Israeli kuifikia kutoka Misri.

Lakini wana wa Israeli walipokiuka maagizo ya Mungu ya kuwaua wenyeji wote wa miji ile yaliyoikuta,ili wamiliki, wao wakazembea hawakuwaua wote, kinyume chake wakawabakisha baadhi yao ikiwemo hawa wafilisti na ndio hao baadaye wakaja kuwa mwiba mkubwa sana kwao kama vile Mungu alivyowaambia.

Kipindi baada ya kipindi walikuwa wakiwashambulia waisraeli, na walipomlilia Mungu, (Waamuzi 10:7-8 ), basi Mungu aliwanyanyulia waamuzi wa kuwaokoa kutoka katika mateso yao, mfano Samsoni.

Wafilisti kwasasa ndio Wapalestina, unaowasikia pale mashariki ya kati, jina hilo lilizaliwa kutoka katika lugha ya wagiriki, ambao waliwaita wafilisti wapalestina. Na ndio mpaka sasa limezoeleka hivyo.

Wafilisti ni nchi gani?

Kama tulivyoona wafilisti ni watu waliokutwa Kaanani kabla ya wana wa Israeli, lakini sio taifa au nchi. Japokuwa enzi zile walikuwa na miji yao mikuu mitano nayo ni.

  1. Gaza,
  2. Ashdodi,
  3. gathi,
  4. Ashkeloni, na
  5. Ekroni
(1Samweli 6:17, Yoshua 13:3).

Walikuwa na wakuu/Wafalme wao watano pia kila mmoja na mji wake soma (Waamuzi 3:3). Sasa Miji hii yote ilikuwa kusini magharibi mwa taifa la Israeli.

Lakini Habari za wafilisti zinatufundisha nini?

Yapo mambo ambayo Mungu anaweza kutuagiza kufanya yakayazembea na madhara yake yakawa mpaka vizazi vya baadaye, kama vile tunavyoona hawa wafilisti/Wapalestina, hawakuwa mwiba tu kwa Israeli wakati ule..Bali hata sasa ni mwiba mkali sana..Kama wewe ni mfuatiliaji wa diplomasia za kimataifa utaweza kufahamu ni kitu gani kinaendelea pale Israeli saa hii , kila kukicha ni machafuko.

Hivyo tuwe makini sana na maagizo ya Mungu, anayotuagiza tusiyapuze hata kidogo,.

View attachment 1792182
Hivi ni wakati gani Israeli lilikuwa Taifa kabla ya mwaka 1948 ?
 
Wafilisti kwasasa ndio Wapalestina, unaowasikia pale mashariki ya kati, jina hilo lilizaliwa kutoka katika lugha ya wagiriki, ambao waliwaita wafilisti wapalestina. Na ndio mpaka sasa limezoeleka hivyo.
Naomba utupe jina hilo la asili kwa kigiriki.
 
mkuu huyo Mungu wa wayahudi ni kigeu geu Sana yaani Kuna Muda haeleweki anataka Nini!
Anatabia ya kujilaumu baada ya kufanya tukio mfano kitabu Cha mwanzo kinasema alijilaumu kwanini alimuumba mwanadamu
Na akasema roho yake haitashindana na mwanadamu akawapunguzia miaka ya kuishi kutoka miaka elfu,mbaka miaka 100 tu
Tena Kama haitoshi alipowaangamiza na gharika la nuhu akajilaumu Tena kwamba hatakuja kuangamiza raia hata wakimkosea
Alivyo kichwa panzi akaja Tena kuwachoma na Moto watu wake sodoma na gomora akawa kavunja Tena kiapo chake
Cha kutoangamiza raia

Alivyo msahaulifu Tena akawaagiza wana wa islael wawafyeke Tena zaidi makabila ya kaanani
Yaani ni full contradictions

Mungu gani huyo kigeu geu!
Mpaka huwa nachaginyikiwa nikisoma saa zigine labda kuna siku tutajua ni kwanini na kila nikijaribu kuwa uliza watumishi wa mungu huwa wanasema wananikimbia na hawataki kabisa
 
"”Tamko la mungu huwa halikanwi""endapo kama alitamka hivyo, mungu si binadamu,labda uta negotiate jambo aliloliongea, Ku negotiate ni ubatilifu kwake.
MUNGU NI YHWH,NA HIZI HERUFI NI MOTO USIO NA MOSHI,HAKOSEI KUONGEA....!
**kwenye ufunuo wa yohana alituambia " ole wake atakayeongeza neno au kupunguza neno""
 
"”Tamko la mungu huwa halikanwi""endapo kama alitamka hivyo mungu si binadamu,labda uta negotiate jambo aliloliongea, Ku negotiate ni ubatilifu kwake.
HAPA NO COMMENTS.
kwa hiyo wewe ukiambiwa ua watu sasa unaua ili uchukue mali zake??
 
Mtoa mada Jackwillpower na 2019 wanajaribu kujustify mauaji but wanasahau kitu kimoja.

Hayo yote yalianzia kwa Canaan alipopewa laana ya Ham kwa kumkosea mzee wake heshima. So Nuhu ndio akatoa laana kwamba Canaan awe mtumwa wa kina Shem.

Fast forward watoto wa Canaan yaani Hivites,Gilgashites,Amalekites,Jebusites,Rephaites etc waliishi eneo ambalo kwa sasa ni Palestina.

So ili kutimiza laana ya Nuhu (Kipindi hiko laana ya mitume na viapo vilikua respected na Mungu wao) Abraham ambaye ni descendant wa Shem ndipo walitokea Israelites.

Sasa basi Semites wakatakiwa kuwaua hao Canaanites wote basically laana kutimia. Na ndio maana kabila moja lilipoomba msamaha na Wayahudi wakaapa kutowaua, the moment wanakuja kuwaua enzi za Daudi Mungu huyo huyo akawapiga laana tena sababu walishakula kiapo wenyewe (Mungu wao aliheshimu tena kiapo)

Huo ni upande wa kwanza
 
Na kweli Sauli alikosa kibali kwa Mungu sababu hakutenda alivyoagizwa. Tutii na kuisikia Sauti ya Mungu. Ikisema UA WEWE MALIZA USINGOJE.
 
Possibility ya pili ni kwamba Baada ya kizazi cha Adam kuchafuliwa na Wanefili vikazaliwa viumbe vya ajabu. Mungu alitaka kutunza pure race ya alichoumba hivyo hakutaka wachangamane kabisa between men and nephilims (corrupted beings).

Yesu alipaswa kutokea kizazi cha Seth ambaye alikua mbadala wa Abel aliyeuawa na Adam. Alikua ndio mtu pekee kwenye kizazi cha Adam aliyeendelea kumuabudu Mungu wa Adam. The rest of mankind ilikua nephilic baadaa ya Jude 13 na Gen 6 events!!

So Ndio akaleta gharika ili kuwaangamiza wote hao abaki na pure race.....

Somehow tunaona wanefili wanarudi kwenye mwanzo 13/14 na wakawa wamejichimbia kwenye makabila ya canaan.

So ku-ensure that hiko kizazi kinapotea ndipo Mungu aka order wamalizwe wote ili race ya nephilism iishie hapo maana nia yake ilikua ni kuharibu species na mankind za Mungu.

That is possibility #2
 
who created nephils in the first place??
 
Crazy God ever heard,yaani huyo Mungu ni wazimu na hafai yaani alijichagulia kakikundi ka wanywa mvinyo kutoka uru ya walkadayo na kuwapa mamlaka wanyang'anye ardhi ya watu kwa sharti et awaue wakazi wote hadi watoto na wanawake
Katili Sana huyo YHW Mungu wa islael aisee hivi kwanini asingewaongoza hao watu wake waje kusini ya misri nikimaanisha huku east Africa ambako kulikua na ardhi ya kutosha wakaja fyeka mapori na kutengeneza nchi mbaka akaamua kuwapeleka sehemu ya makazi ya watu wasababishe Vita na umwagaji damu ?
Fyeka Waamori,wagirgash,wafilisti,
wahivi,waakron na wengine wengi ili apole ardhi aiseee

Hizi dini za mashariki ya Kati na huyo Mungu wao ana walakini waafrika tuamke tuachane na huyo Mungu hafai kabisa
NB miungu yetu waafrika ilikua ya upendo Sana kabla hawa kenge kutoka middle East kuja kuharibu bongo za babu babu zetu,mwanzo walikua wanaishi kwa ushirikiano na upendo mkubwa ila hawa wavaa kobazi,kanzu na vilemba walipotua tu na majahazi yao biashara za kuuza watu zikaanza!
Walipokuja wagalatia ndio mweeee walitugawa kimakundi kabisaaaaaa

Wake up you black race!
Tunapigwa kamba!

Mkuu wewe hata ukisemaje juu ya Mungu anabaki kua Mungu tu Mkuu tena Mimi na wewe si lolote na chochote mbele zake, ndio maana aliangamiza watu wote kipindi cha Nuhu na bado baada ya hapo watu wakazaliana na kujaza Nchi. Unajua kua kipindi kile iliangamizwa Dunia nzima? Na bado baada ya maangamizi watu walizaliana na kujaza Dunia?
Mungu Hana cha kupoteza umkiri au usimkiri ni Mungu mkuu. Alfa na Omega Bwana wa Mabwana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom