Wajue Wafilisti/Wapalestina

who created nephils in the first place??
It's debatable lakini some theories zinadai kwamba ni zao la Malaika walioasi na Binadamu ukisoma Gen 6 the soma na Yuda.... Then soma kuhusu warefai/Nephili kuanzia Gen 13/14 mpaka Kifo cha Mfalme Og utapata picha kamili kwamba hawakuwa normal humans coz of their size and prowess.
 
Kwa nini Mungu muweza wa yote anapata shida saana kuwarudisha wanadam ktk njia sahihi wakati kawaumba yeye mwenyewe.? Si angeagiza tu kuanzia sasa ufahamu wa maovu ondoka...! Teyari pakawa na amani anayoitaka.
Hajapata shida, upendo ndio unamfanya awe na subira
 
mkuu huyo Mungu wa wayahudi ni kigeu geu Sana yaani Kuna Muda haeleweki anataka Nini!
Anatabia ya kujilaumu baada ya kufanya tukio mfano kitabu Cha mwanzo kinasema alijilaumu kwanini alimuumba mwanadamu
Na akasema roho yake haitashindana na mwanadamu akawapunguzia miaka ya kuishi kutoka miaka elfu,mbaka miaka 100 tu
Tena Kama haitoshi alipowaangamiza na gharika la nuhu akajilaumu Tena kwamba hatakuja kuangamiza raia hata wakimkosea
Alivyo kichwa panzi akaja Tena kuwachoma na Moto watu wake sodoma na gomora akawa kavunja Tena kiapo chake
Cha kutoangamiza raia

Alivyo msahaulifu Tena akawaagiza wana wa islael wawafyeke Tena zaidi makabila ya kaanani
Yaani ni full contradictions

Mungu gani huyo kigeu geu!
Dah!! Yan ww jamaa ni shida sana🤣🤣🤣🤣
 
It's debatable lakini some theories zinadai kwamba ni zao la Malaika walioasi na Binadamu ukisoma Gen 6 the soma na Yuda.... Then soma kuhusu warefai/Nephili kuanzia Gen 13/14 mpaka Kifo cha Mfalme Og utapata picha kamili kwamba hawakuwa normal humans coz of their size and prowess.
Okay
 
Na kweli Sauli alikosa kibali kwa Mungu sababu hakutenda alivyoagizwa. Tutii na kuisikia Sauti ya Mungu. Ikisema UA WEWE MALIZA USINGOJE.
But Saul alikua zao la hao hao wacaanan.... Mama yake hakuwa myahudi bali mnefili no wonder anguko la wayahudi lilianza pale Daudi anamlala yule mcanaan.

She was a Gilonite ..... Na aliolewa na MHITI ambaye pia ni mnefili wa canaan
 
Mpaka huwa nachaginyikiwa nikisoma saa zigine labda kuna siku tutajua ni kwanini na kila nikijaribu kuwa uliza watumishi wa mungu huwa wanasema wananikimbia na hawataki kabisa
wakwambie wanalijua wapi Hilo wao wameambiwa wasiulize ulize Mungu ni Muweza wa yote na anafanya vyovyote anavyotaka,hahojiwi,hapingwi akisema amesema Hana mpinzani
Ndio maana shetani aliponaribu kuingilia mamlaka yake mbaka leo anaonjeshwa joto la jiwe

Wachungaji utawaonea bure ukiwauliza maswali hayo waache wakusanye sadaka tu na kuwabuluza kondoo finish!
😂😂😂
 
Wafilisti ni watu walioishi Kaanani ambao waliokuwa maadui wakubwa sana wa Israeli enzi za agano la Kale. Hawa walikuwa ni kundi mojawapo la wenyewe wa nchi ile kabla ya Israeli kuifikia kutoka Misri.

Lakini wana wa Israeli walipokiuka maagizo ya Mungu ya kuwaua wenyeji wote wa miji ile yaliyoikuta,ili wamiliki, wao wakazembea hawakuwaua wote, kinyume chake wakawabakisha baadhi yao ikiwemo hawa wafilisti na ndio hao baadaye wakaja kuwa mwiba mkubwa sana kwao kama vile Mungu alivyowaambia.

Kipindi baada ya kipindi walikuwa wakiwashambulia waisraeli, na walipomlilia Mungu, (Waamuzi 10:7-8 ), basi Mungu aliwanyanyulia waamuzi wa kuwaokoa kutoka katika mateso yao, mfano Samsoni.

Wafilisti kwasasa ndio Wapalestina, unaowasikia pale mashariki ya kati, jina hilo lilizaliwa kutoka katika lugha ya wagiriki, ambao waliwaita wafilisti wapalestina. Na ndio mpaka sasa limezoeleka hivyo.

Wafilisti ni nchi gani?

Kama tulivyoona wafilisti ni watu waliokutwa Kaanani kabla ya wana wa Israeli, lakini sio taifa au nchi. Japokuwa enzi zile walikuwa na miji yao mikuu mitano nayo ni.

  1. Gaza,
  2. Ashdodi,
  3. gathi,
  4. Ashkeloni, na
  5. Ekroni
(1Samweli 6:17, Yoshua 13:3).

Walikuwa na wakuu/Wafalme wao watano pia kila mmoja na mji wake soma (Waamuzi 3:3). Sasa Miji hii yote ilikuwa kusini magharibi mwa taifa la Israeli.

Lakini Habari za wafilisti zinatufundisha nini?

Yapo mambo ambayo Mungu anaweza kutuagiza kufanya yakayazembea na madhara yake yakawa mpaka vizazi vya baadaye, kama vile tunavyoona hawa wafilisti/Wapalestina, hawakuwa mwiba tu kwa Israeli wakati ule..Bali hata sasa ni mwiba mkali sana..Kama wewe ni mfuatiliaji wa diplomasia za kimataifa utaweza kufahamu ni kitu gani kinaendelea pale Israeli saa hii , kila kukicha ni machafuko.

Hivyo tuwe makini sana na maagizo ya Mungu, anayotuagiza tusiyapuze hata kidogo,.

View attachment 1792182
Naunga mkono hoja
 
Mkuu acha kupotosha watu. Wapalestina wa leo hawana uhusiano na Wafilisti wa kale. Wafilisti kama taifa uwepo wao ulikoma karne ya tano BC baada ya kupigwa na Wa Assyria, na kisha wakapotelea na kusambaa nchi za Ulaya. Baada ya hapo hawakuishi tena kama taifa ambalo wewe unawaita Wapalestina. Mwisho wa Wafilisti kama taifa ulikuwa miaka kama 500 kabla ya Kristo. Kuwaambia watu Wapalestina ndio Wafilisti ni kuwalisha matango pori

Wapelestina wana histria yao kama Wafilisti walivyokuwa na historia yao. Hakuna uhusiano wowote kati ya hawa wawili

The Philistine cities lost their independence to Assyria, and revolts in the following years were all crushed. They were subsequently absorbed into the Neo-Babylonian Empire and the Achaemenid Empire, and disappeared as a distinct ethnic group by the late 5th century BC.
 
leta ushahid wapalestina kizazi chao kinaanzia wapi , sio kukopi kimstari google cha english
 
Ni kwamba mwanzoni, tunapaswa kuzingatia asili ya Mungu. Yeye ni Bwana aliye huru na ana haki kamili ya kutumia nguvu zake kwa njia yoyote atakayochagua. Yeye ndiye Muumba wa vitu vyote; kwa hivyo, ana haki kamili ya umiliki juu ya kila kitu. Ni hamu ya Mungu, na kusudi la Israeli kurithi nchi ya Kanaani. Mungu, ana haki za Muumba. Ni nani awezaye kumwambia, "Kwa nini umenifanya hivi? Je! Unafanya nini? Unafanya nini?"

Pili, Wakanaani hawakuwa watu wasio na hatia kwa njia yoyote ile waliposimama mbele za Mungu na Israeli. Je! Wakanaani walikuwa watu wa amani, waadilifu, na wanyofu?

Hiyo sivyo ilivyo. Wakati Mungu alimuahidi Abrahamu kwamba uzao wake utarithi nchi ya Kanaani, alisema haitafanyika hadi kizazi cha nne baada ya Ibrahimu kwa sababu uovu wa Waamori bado haujakamilika.

Walifanya mambo kama dhabihu ya watoto, uchumba, uasherati, ukahaba wa hekaluni, na matendo mengine mabaya.

Wakanaani, walikuwa wamemkataa Mungu na sheria yake. Kulikuwa na mashahidi katika nchi hiyo kwa Wakanaani: Ibrahimu, Isaka, Yakobo, na familia zao. Walikuwa watu waliomfuata Bwana. hawakuwa wasio na hatia; Wakanaani walikuwa wamefilisika kimaadili na hawawezi kubadilika katika uovu wao.

Israeli walikuwa watu waliochaguliwa na Mungu, haki ya Bwana ilitumika kwao kama inavyotumika kwa mataifa mengine. Haki ya Mungu haionyeshi upendeleo. Katika Kumbukumbu la Torati 20:18, Bwana aliwaambia Israeli kuwa moja ya sababu za msingi kwamba jeshi lake lilikuwa kuangamiza mataifa mengi mbele yao ni ili wasiwafundishe kufanya kulingana na tabia zao zote za kuchukiza ambazo wamezifanyia miungu yao. na kuwafanya wamtendee dhambi Bwana.
Kwanini Mungu asingewaangamiza yeye badala ya kutuma wa Israel kuwauwa wafilisti? Na walipowabakisha kwanini asingewaangamiza badala ya kuwapa adhabu vizazi ambavyo hawakuhusika kwenye ule mgogoro?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
leta ushahid wapalestina kizazi chao kinaanzia wapi , sio kukopi kimstari google cha english
acha ubishi wa kipimbi Wafilisti hawana uhusiano na wapalestina,hao Wafilisti walipotezana miaka zaidi ya 500 Bc huko walivamiwa na Assyrian wakawafyeka na wengine wakakimbilia sehemu mbali mbali hawakuishi Kama taifa Tena
Soma historia mkuu
Wapelestina ni moja Kati ya makabila chotara wachache ya wayahudi waliobakia baada warumi kuwafyeka mwaka 70 AD na kuubomoa Jerusalem
Hao walikua vikundi vidogo vidogo vya wakulima waroma wakaona hawana madhara wawaache waendelee kutunza ardhi ya mizabibu na mizeituni

Mbaka mwaka 1940's UNO kuweka agenda za kuwarudisha wazayuni waliotawanyika duniani ndio wakawaleta maashkenazi mnao waona Leo wanaleta vurugu kwa ndugu zao walibakia hapo!
 
Agano la Kale linaonyesha kwamba Wafilisti waliabudu miungu mitatu: Ashtorethi, Dagoni, na Baal-Zebubu-kila mmoja alikuwa na madhabahu katika miji mbalimbali (Waamuzi 16:23, 1 Samweli 31:10; 2 Wafalme 1:2). Matokeo ya akiolojia yanaonyesha kuwa askari wa Wafilisti walibeba sanamu za miungu yao katika vita (2 Samweli 5:21). Inaonekana, pia walikuwa watu washirikina

Wakanaani, walikuwa wamemkataa Mungu na sheria yake. Kulikuwa na mashahidi katika nchi hiyo kwa Wakanaani: Ibrahimu, Isaka, Yakobo, na familia zao. Walikuwa watu waliomfuata Bwana. hawakuwa wasio na hatia; Wakanaani walikuwa wamefilisika kimaadili na hawawezi kubadilika katika uovu wao.

Israeli walikuwa watu waliochaguliwa na Mungu, haki ya Bwana ilitumika kwao kama inavyotumika kwa mataifa mengine. Haki ya Mungu haionyeshi upendeleo. Katika Kumbukumbu la Torati 20:18, Bwana aliwaambia Israeli kuwa moja ya sababu za msingi kwamba jeshi lake lilikuwa kuangamiza mataifa mengi mbele yao ni ili wasiwafundishe kufanya kulingana na tabia zao zote za kuchukiza ambazo kuabudu miungu yao. na kuwafanya wamtendee dhambi Bwana.
Waulize kule ndani ya KAABA kuna nini na kwa.nini walijengea ?
 
1. Yaani MUNGU alitaka wapalestina wafe wote ili Israel akae kwa raha mustarehe?
2.Je MUNGU wa UPENDO ndo huyo huyo ?

NB: Imani ni jambo gumu
Yeah ndio huyo huyo aliyechoma sodoma na gomora,,, pia ndiye aliye mwagiza nuhu ajenge safina
 
Mungu wa Israel si Mungu wa AMANI na Upendo kwa viumbe aliowaumba yeye mwenyewe!!!
 
Back
Top Bottom