Wajue ma DED zaidi ya 74 wasimamizi wa Uchaguzi ambao ni wanachama wa CCM

Chakubanga Mganga njaa hana alijualo mbwembe zake kwenye tume ya Warioba kumbe ulikuwa unafiki tu hivi ni nani wa kuaminika nchi hii??wanasiasa ndio hao,wanataaluma ndio kabisaaa,wanajeshi nao disaini ya Mabeyo nao wanataka siasa tutafika kweli??
 
Mr.netho alikiwa mwalim wangu chuo na kocha wa mpira timu ya chuo. Long tyme sana huyu mshkaji.. kumbe alikula ukurugenzi
Chuo cha kata Khaa, Sasa huyo mwalimu au Seminar leader

Chuo kikuu unafundishwa na Mr badala ya PhD holders na professor

Hao bachelors na Masters ni Seminar leader wa kusaidia instructor, Khaa umefundishwa na Mr, vyuo vya kata duu
 
Sisi tunafuata hukumu ya mahakama kuu hiyo rufaa hatuitambui na wakithubutu kusimamia uchaguzi wowote utakua nibatili tutakwenda mahakamani
 
Huyu jamaa...

10. Pius Shija Luhende, DED wa Itigi na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Majimbo ya Manyoni Magh na Mash. 2015 alishiriki Kura za Maoni Ubunge CCM Kishapu.😅😅😅

Halaf badae akaua mtu kanisani kwa bastola yake lkn akajipeleka polisi kudai eti gobore la askari wanyama pori ndo limeua...

Hapo alishakwenda polisi kabla kuomba askari wa kwenda nao huko shamba kwenye msako wake wa ushuru, OCD akamzuia, akaondoka kibabe, sasa kila siku analazwa mara sukari mara sijui presha iko juu... wacha anyee debe kwanza tupate mbolea ya shamba la mboga la mkuu wa gereza😅
 
ongeza hawa:
19.ERICK C.MAPUNDA.DED MAFIA alishiriki 2015 aligombea ubunge songea mjini.sasa ni msimamizi wa uchaguzi jimbo la mafia.
20.Changwa Mohamed MKwazu. 2015 aligombea uchaguzi jimbo la Chalinze akashindwa kura za maoni .sasa ni DED Masasi
 
Ndugu yangu bora hata yao maded maana watakaoteuliwa na mkulu kupitia NEC ni kichekesho na kuna harufu ya kuwa makada ambao ni tiss amino hilo
 
Hii listi full makada ktk magwanda ya kijani halafu tutegemee uchaguzi ulio huru na wa haki.

Bila soni serikali ya CCM imekata rufaa ili hawa ma - DED makada waendelee kusimamia chaguzi zijazo !
 
20 Jul 2018
Mkurugenzi wa tume ya uchaguzi Athuman Kihamia amezungumzia kuhusu baadhi ya wagombea kunyang'anywa fomu wakati wanapozirudisha nakujibu tuhuma zilizowasilishwa na chama cha CHADEMA kwamba wamekataa kujibu barua walizowaandikia huku akieleza uchaguzi hauwezi kuahirishwa kama inavyodaiwa
 
Watu Kama Hawa uwaambie Magufuli hafai kashindwa watatamani kukumeza lazima wakuundie zengwe utekwe

Kwa sababu wanafaidika juu ya dhuluma !!!!!!!!

Shame on u guys !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…