Wajue ma DED zaidi ya 74 wasimamizi wa Uchaguzi ambao ni wanachama wa CCM

E
Endelea kufanya updates! Hao nyumbu wengine wanaotajwa picha zao ziko kwenye Facebook! Wala si za kutafuta! Endelea ku updates walau wafike 3/4!
tuleteeni wakuu, tujue jambo la kuombea kwa Mungu, yaani wanafki wanazunguka misikitini na kanisaninkuombewa kumbe wanajua namna wanavyoiba
 
Huyu ni Yohana E Sintoo, DED wa Hai na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Jimbo la Hai. 2015 alishiriki Kura za Maoni Ubunge CCM jimbo la Singida Kaskazini. Serikali inakatia rufaa hukumu ya kuwaondoa MaDED kusimamia Uchaguzi kwa sababu hawa ni #PumziYaCCM #ChaguziHuru
#WaTZsiWajinga https://t.co/ozMOwN828U
 
Lakini hao wakurugenzi huwa tunawaapisha na kuwasisitiza kutenda haki kwa vyama vyote
Sawa na raisi anaposema mkurugenzi wa uchaguzi tunakupa nyuma,gari na mafuta ukiruhusu jimbo liende upinzani kazi huna wewe unaeleaje?
 
Huyu ndiye DED wa Butiama asee, kijana wangu Magori Alphonse au Alphonse Magori kutoka Tariiiime Mara.
 
Haisaidii kitu. Nyie badala ya kwenda huko vijijini mtangaze sera zenu mnakimbilia mtandaoni. Heri nyumbu wa mbugani kuliko nyumbu wa CHADEMA
 
Haisaidii kitu. Nyie badala ya kwenda huko vijijini mtangaze sera zenu mnakimbilia mtandaoni. Heri nyumbu wa mbugani kuliko nyumbu wa CHADEMA
Kama sheria hazifuatwi zinavunjwa waziwazi na viongozi hata ukikesha vijijini ni kazi bure.
 
laana za wamama wa kichaga lazma zimpate, umeona zile hekma za askofu shoo zilivyomlandua jr?
 
laana za wamama wa kichaga lazma zimpate, umeona zile hekma za askofu shoo zilivyomlandua jr?
Kumbe wamama wa kichaga wanatoa laana kwenye siasa? Mungu kawapa wachaga pesa na akawanyima akili. Hii ni shida sana. sasa askofu shoo anataka kutengeneza nchi ya uchaga? Heri nyumbu wa mbugani kuliko nyumbu wa CHADEMA
 
wewe nenda na ushamba wako?
wachagga wana kila kitu, mimi nafanya juu chini mwanangu aolewe na mchagga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…