Wajue Baadhi Ya Warembo wa JF

Wajue Baadhi Ya Warembo wa JF

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,270
Warembo tisa wa JF walikwenda Arusha kwa mwaliko wa Preta. Walipiga picha na picha hiyo nawaleteeni


WAREMBO-JF.jpeg Kuanzia kushoto kwenda kulia:
1 Evelyn Salt
2 Madame B
3 Erotica
4 Mamndeny
5.@Lara1
6 maria Rosa
7.Toto la Kirombo lenyewe Preta
8 Mwali na
9 cacico
 
Last edited by a moderator:
..mimama ya hivi uikute kwenye ugomvi,utapenda hayaachi kuvua nguo..teh..tehheh..
 
attachment.php


Sijui na mimi nikae miaka mingapi hapa JF kwa hizo Bia na kuku niweze kunenepa hivyo
akitokea Manyama (Sungura tu wala sio Simba) sijui watachagua kuogelea au kukimbia alikotokea mnyama
 
Duuh nyote plus size...punguzeni bia na kitimoto
 
Hahaaaa yaani nimecheka kweli leo....dah asante sana wewe mleta uzi na mze wangu wa ukweli willy mutunga kwa ku piba mambata ya mgongo raila
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom