Wajinga wenzako ndiyo watakushangaa

Wajinga wenzako ndiyo watakushangaa

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,439
CVfB4BHW4AAGX04.jpg
Mara nyingine huwa napanda Bajaj kutoka site mpaka ferry. Kisha navuka. Wengine hushangaa kuniona hivi!

attachment.php
 
Aisee nina kichwa kigumu sijaelewa kitu.....
 
sasa hiyo selfie inatuhusu nini sisi?
 
dah! Lips Za Jamaa Zina kutu balaa ndo maana demu wangu anapenda lips zangu, hata hapa hom pia ,Madem wengi wanadata nami!


Shuby
 
Ivi kaacha kuvaa viduku, make kuna cku nilimuona kajibana na viduku kama densa wa akudo,
 
Yaani anajiona kuwa na yeye ni matawi ya juu hahahahaaa
 
HANA HATAHAYA KWA KUWA MB SIFHAN UNAWEZA ANDIKA HAYA WHO R U USIPANDE BAJAJI..UDHAIFU WA AKILI..wengine tungetotoa hesabu lakini akili za mtu kukutotoa ngumu..TUMWOMBEE...
 
"Eti watu hushangaa kuniona hivi " sifa za kijinga hizo.
 
Back
Top Bottom