Wajinga wenzako ndiyo watakushangaa

Wajinga wenzako ndiyo watakushangaa

Ni kweli wajinga wenzie ndo wanaomshangaa.....pumbafu kabisa kipi cha ajabu
 
Hapo anajipigia debe...
Bila shaka anaiota ile wizara ya Mh.Jeep
 
Huyo si muheshimiwa au nachanganya mambo hapa. Ni kama vile huyojaa ni mbunge wa ccm sasa anajidani kubana matumizi kupanda bajaj. Au mwenye uzi alirekebishe.
 
nimeshindwa kuoaelewa hapo ni wapi wakuu
 
Mara nyingine huwa napanda Bajaj kutoka site mpaka ferry. Kisha navuka. Wengine hushangaa kuniona hivi!

attachment.php




Wakushangae kwani wewe ni nani, tujulishe basi!
 
kijijini kwenu ushatembea kwa miguu sana, kumbuka hilo, nini bajaj?

watakushangaa ukijishangaa
 
aisee hata yule jamaa alipanda daladala kwenda kunywa uji lishe manzese lkn wananchi wakaelewa janja yake.

kwako ni wapi? dsm kigambonino? unawakilisha wananchi wako kigamboni?
 
quote_icon.png
By RRONDO
Aisee nina kichwa kigumu sijaelewa kitu.....
Kumbe nawe hujaelewa ka mimi
huyo jamaa huoni kichwa chake kinafanana na yule Dr aliyegawana na Bashe Jimbo la Nzega? ana picha ingine kapanda Bodaboda huko Arusha
sijui kwanini katumia ID ya mwanamke Rose wakati ana ya kwake
labda Promo kwa member tumuombee Wizara ya Afya
 
daah, kazi kweli.. mkuu una shida kidogo inavonekana, afu ni mtu mzima kidogo ila hujielewi..
 
Back
Top Bottom