nililiwa laki mbili na elfu sabini mbagala rangi tatu,nadhani kwa wale wa mbagala wanajua mahali wanachezeaga hawa majamaa,mwanzoni waliniambia nimeshinda pikipiki,ili hiyo laki mbili haikuniuma sana maana ndo nilikuwa nimefika bongo na nilikuwa na noti za dola 100 na euro 500 kibao