Kaplizer JF-Expert Member Joined Apr 27, 2014 Posts 727 Reaction score 598 Yesterday at 1:28 AM #1 Karibuni members tuiowahi pitia jela iwe Tz au popote... Karibu tukumbushane Yale mateso na karaha.. Nmepita Mgagao na Iringa mjini kule msimu wa baridi sio poa kabisa... Kaba uzi bwana mkubwa
Karibuni members tuiowahi pitia jela iwe Tz au popote... Karibu tukumbushane Yale mateso na karaha.. Nmepita Mgagao na Iringa mjini kule msimu wa baridi sio poa kabisa... Kaba uzi bwana mkubwa
M Makebo JF-Expert Member Joined Nov 29, 2025 Posts 4,255 Reaction score 7,061 Yesterday at 1:31 AM #2 Ilikuwaje ukaenda jela, tuanzie hapo ?
danceforme JF-Expert Member Joined Aug 3, 2026 Posts 506 Reaction score 1,223 Yesterday at 1:42 AM #3 Meza ya Jera ndio inayo ongoza kuwa na Vinywaji vya Bei zaidi, hivyo Isiguswe
mhuri25 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 3,701 Reaction score 5,310 Yesterday at 2:04 AM #4 Ngoja Waamke asubuhi wajelajela
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,003 Reaction score 136,850 Yesterday at 5:26 AM #5 Mimi hadi muda huu nipo kwenye jela ya mapenzi.
Excel VBA JF-Expert Member Joined Oct 27, 2025 Posts 920 Reaction score 2,099 Yesterday at 5:30 AM #6 Wanakuja
shila 68 JF-Expert Member Joined Jul 11, 2026 Posts 734 Reaction score 1,481 Yesterday at 5:39 AM #7 Wakishakuja mu niite