Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,673
- 11,343
Hao ni baadhi ya wale watu ambao hawataki kukubaliana na hali waliyonayo katika muda mahususi. Kuna miezi ambayo mama mjamzito hatakiwi kuvaa nguo zakubana sana tumbo(hasa kuanzia mieziminne nakuendelea) hii itasaidia kumfanya mtoto ajitengeneze vizuri tumboni mwa mama yake.
Ngoja tuunde tume kubaini ukubwa wa chanzo cha uvaaaji huo na matatizo yanayoweza kutokea kwa uvaaji huo.
Habari zenyu bhana......... Hope mko pouwa!
Kuna hii issue ya wajawazito kuvaa nguo fupi maarufu kama vimini, unakuta mama mjamzito kavaa kigauni au kiskirt kifuuupiiiii saaaaana kinachofikia nusu ya mapaja afu ndani hajavaa nguo nyingine. Na wengine wamekwenda mbali wanavaa skin tight au skin jeans na top dress, wengine hawavai kabisaaaa nguo za kuachia mwili upate nafasi, wameng'ang'ania visuruali na vipyedo ilhali hawajua madhara yake. Hivi ndio kwenda na wakati au kupunga upepo?? Au kwa vile ni wajawazito wanakuwa na haki ya kufanya chochote watakacho????
Sijui ni ushamba wangu au ni sawa???
Hebu wataalamu wa afya ya mama mjamzito mwageni mapwenti hapa, huenda kuna wengine hawajui madhara ya kuvaa nguo za kubana wakati wa ujauzito!
Wabheja sana!
hahahahaha umenikumbusha wakati flani nilipitaga pale morroco kwenye petrol station huwa wanauza baga pale. Bwana wadada wanaokuja pale sijui wote hawajui kiswahili basi uzungu uko pale ndugu yangu. Bahatii nzuri nilikua na mkarimani alikua ananisaidia kuelewa manake nikahisi pale kuna wadhungu tu lol. Yaani wadada wanajua kuzuga jamani mbona umenikumbusha mbali. Sasa akatokea jammaa mmoja akaongea kiinglishi na wamoja wao mbona alibadilisha akaanza kuongea kiswahili na jamaa aliendelea na kiinglish nikashangaa.Wapo, wanapenda sana kwenye halaiki ili waonekane. Kwani hata hapo steers si kuuza sura tu, wanaagiza milk-shake na donut wanakaa mchana kutwa wakisoma Ebony ya mwaka juzi. Sijawahi tu kuwaletea ushambenga kwa kuwa ukijichanganya tu wanajifanya hawajui Kiswahili, na mimi na Kiingereza mbali mbali
Jamani nimecheka huyo uliyemquote ana vituko jamani uuuuuiiiiii mbavu zangu mayo nenembavu zangu mie, yaani nimecheka mpaka basi. Ehhe, sasa yule shem mzungu hukumwambia akutumie nyingine? Mimi nililetewa na dada yangu, aliyekuwa anasoma Kantalamba, akabana mwenyewe pesa za matumizi akaninunulia mtumba wa OshKosh na kishati chekundu kizuri hicho, nilitesaje.
kiongoziMimi binafsi si kwa wajawazito tu bali nikiona mwanamke amevaa kimini huwa namchukulia kama ni malaya.Siku moja nilienda kwenye hoteli moja kupata lunch baada ya kukuta wahudumu wake wamevaa vimini basi niliondoka muda huo huo.Mimi ni mkiristo lakini haya mambo ya vimini tumeyaendekeza sana sisi wakristo na cha kushangaza sasa hivi hata baadhi ya makanisa watu wenye vimini na wanaoacha manyonyo yao wazi wanaingia bila kukemewa, angalau jamaa zetu waislamu kidogo wanajitahidi.
Habari zenyu bhana......... Hope mko pouwa!
Kuna hii issue ya wajawazito kuvaa nguo fupi maarufu kama vimini, unakuta mama mjamzito kavaa kigauni au kiskirt kifuuupiiiii saaaaana kinachofikia nusu ya mapaja afu ndani hajavaa nguo nyingine. Na wengine wamekwenda mbali wanavaa skin tight au skin jeans na top dress, wengine hawavai kabisaaaa nguo za kuachia mwili upate nafasi, wameng'ang'ania visuruali na vipyedo ilhali hawajua madhara yake. Hivi ndio kwenda na wakati au kupunga upepo?? Au kwa vile ni wajawazito wanakuwa na haki ya kufanya chochote watakacho????
Sijui ni ushamba wangu au ni sawa???
Hebu wataalamu wa afya ya mama mjamzito mwageni mapwenti hapa, huenda kuna wengine hawajui madhara ya kuvaa nguo za kubana wakati wa ujauzito!
Wabheja sana!
Siku hizi kuna maternity clothing zaidi ya Yale magauni mama na bibi zetu walizokuwa wanavaa. Nilikuwa na maternity clothing kuanzia chupi, vimini, bukta, magauni, mpaka jeans. It's 2013 baby.
Naomba niwaamue huu ugomvi wenu kabla haujapata washabiki.
Wewe Mwali baki na vagina yako ya 12[SUP]0[/SUP]c na wewe kwamtoro baki na vagina yako ya 86.9[SUP]0[/SUP]c
Mimba zenu kwa kifupi zimetofautiana. We Mwali umepata mimba ya Winter na kwamtoro yeye yamemkuta wakati wa Summer Jam.
Nafikiri ugomvi umekwisha?!
Ha ha ha ha ha, very funny
Ila wee bonge la mediator
Wengi wao ni malaya wanaonyesha jinsi walivyo.
Kaunga hebu tuwe wawazi, hivi ni mwanaume yupi anayeweza kumpangia mkewe ngo ya kuvaa? Huyo mwanaume hajipendi? Kwa wanawake kupanga nguo ya mme kuvaa ni kawaida na haki na mwanaume akikataa, ni ugomvi wa mwisho wa reli -kigoma.hahahah, lakini my dear; imagine huyo mvaa kimini hicho katangulizana na mumewe na pengine huyo mumewe ndio kanunua; who am l to say what they should or should not do?
........
.
Na wachache waliobakia?
kwa utafiti wangu wajawazito wengi sasa wana patwa matatizo ya kujifungua tokana na sehemu ya chini ya uzazi kubanwa na hivyo vijinguo vyao vinasababisha hata ile miezi ya kujifungua kupita , na wengi wao hawajui kuwa vinguo hivyo hasa skintight, vijeanz mbano vina madhara makubwa kwa watoto tumboni laiti wangekuwa wanajua wasingeweza kuvaa