Wajawazito na vimini!

ushamba wako tu

hapana sio ushamba wake...! ila wamama na wadada hawa wankera sana katika hali walizonazo na kuvaa nguo za ajabu ajabu, ndio hapaswi kuvaa nguo yenye kumbana mwili lakini sio nguo fupi...
 
Paloma, nakubaliana kabisa na wewe kuna watu hawapendezi kabisa na madela, mimi mmoja wapo, yaani nikiwa mjamzito hunivalishi dela.....hii hutokana na mwili wa mtu
nina vinguo ambavyo kweli unaweza kuvivaa, ukapendeza, na ukatoka hakuna mtu akageuka kukuangalia ulivyovaa. lakini kuna vinguo ambavyo nadhani charminglady anavisemea, ni kwamba yule mama akipita lazima wewe mwangaliaji utaona aibu. siyo kabisa, na badala ya kumpendeza inamdhalilisha.
mimi sijui niseme nina bahati au la, huwa sina tumbo kubwa sana, ninapokuwa mjamzito watu wanapokuja kuhisi kuwa mjamzito huwa nimeshasogeza miezi kadhaa.... watu wanapoona kuwa huyu mama ni mjamzito wiki inayofwatia wanaambiwa nimejifungua, wanaulizana tu kama pre-mature au vipi. lakini najua kabisa ninapokuwa hivyo natakiwa kujisitiri, hata kama tumbo halijachomoza sana.
rafiki yangu Kaunga ananiambia tabia haipimwi kwa mavazi, nakubaliana naye kabisa, lakini hapa mimi naona tunazungumzia zaidi kujisitiri kuliko tabia. tuvae kwa kujisitiri tutapendeza tu.
 
Last edited by a moderator:
Kaunga, hatuna cha ziada ambacho tunaweza kukifanya nje na kuonyesha kutokufurahishwa na hilo tukio. Lakini si jambo jema kukaa kimya kama unauhakika jambo linalofanyika ni baya, kwa kuzungumza unaweza kuwasaidia wengine kuepukana na tabia zisizofaa ...
Nafahamu changamoto ya unachokizungumza, lakini siku zote huwa najiuliza, ni busara kukaa kimya endapo unaona mambo yanaenda ndivyo sivyo?
 
source maajabu ya mimba just google.
Au nina mimba? Hii inaonyesha jinsi gani kichwani ulivyo mweupe. Kifupi wewe ni usele..
kwa hiyo source yako ni google? hii inaonesha ulivo researcher mjinga.
Kama hujui bora ukae kimya kuliko kudisplay such lack of knowledge.
 
hahahah, mwaya unavaa unachofeel confortable nacho. mimi msisitizo wangu ni kuheshimu machaguo ya wengine, imagine the whole world wangekuwa kama mimi au kama wewe, what a boring world ingekuwa?
Kweli ingekua haipendezi dear . Hasa ukizingatia kipindi hiki cha utandawazi basi tukubali mabadiliko mengi tu kwenye jamii zetu. Mambo lkn vip mzima Kaunga .
 
Last edited by a moderator:

Me love you sana, hasa unapovaa vidress vyako vya maternity na kupendeza. Sijui labda kwakuwa sikai mjini hivyo sijaona mjamzito akivaa robo uchi hadi ASISITIRIKE lakini sijui skin jeans, tena kuna mdada tuko naye ofisini nilimletea zawadi ya maternity skin jeans, akivaa mwenyewe na kitop chake cha kumwaga anapendeza kweli kweli.
 
hahahah, mwaya unavaa unachofeel confortable nacho. mimi msisitizo wangu ni kuheshimu machaguo ya wengine, imagine the whole world wangekuwa kama mimi au kama wewe, what a boring world ingekuwa?
ha haaaa, ndo maana wengine wavae ma-dira, wengine matrauza (si yapo ya wajawazito?) kama sisi tunashona vigauni vya mabatiki na vitenge, mwisho kwenye magoti, lol!
sasa unione rafiki yako. eti kila mtoto huwa namwekea gauni moja nililovaa nikiwa na mimba yake pamoja na kinguo chake kimoja cha utotoni, nitawapa watakapooa/olewa, nao watawavalisha watoto wao na wale wakiume sijui wake zao watakubali kuvaa maternity dress za mama mkwe, lol! haitakuwa sheria though, ambaye hatataka ataweka kwenye mabox, lol!
 

Bado hujanijibu, ndivyo sivyo according to who? Vipi mimi ambaye naweza kuwa na mtazamo kuwa mwanaume kuvaa Tshirt tight kama yako ni kukosa maadili? You have to wear suit all the time ndipo unakuwa na maadili. Ndio maana nikakupa makundi ya watu, tena niliwasahau waTswana na mila zao.
Anyway, tuyaache na tukubali kutofautiana mitazamo.
 
kwa hiyo source yako ni google? hii inaonesha ulivo researcher mjinga.
Kama hujui bora ukae kimya kuliko kudisplay such lack of knowledge.

Nonsense!!!!!!
Mwali,
Without stupidity there can be no wisdom & without ugliness there can be no beauty. So the world needs YOU after all.
 
Kuna vivazi haviko sawa sana . Nami nimeviona kipindi flani , yaani upepo ukipiga watu wanabaki kusema aiyaaaaaa
na wengine kufunika nyuso zao. Kiukweli kuna tamaduni sio zetu lkn kama wahusika wanaona zinawafaa basi kwani tutafanyaje tena na ndio umujini cha msingi tuonapo hivyo na hasa kivazi kikipanda juu basi tuangalie pembeni tu maana kuna wengine wana waume zao na ndio waliowanunulia. Nionavyo mimi tujitahidi kuvaa nguo zinazotusitiri na wasioweza tuwavumilie tu.
 

The liberty of the individual must be thus far limited; he must not make himself a nuisance to other people.

John Stuart Mill



Basi ndio umkute Bi Chausiku naye katinga this way Samora Avenue saa 7 mchana na kajasho ka mimba. Mbaya zaidi ukute ana tabia mbaya kama Kongosho (za kutobeba leso), we Kaunga wee, mswalieni mtume jamani!
​
 
Last edited by a moderator:
ha haaaa, rafiki ndo ukuje mujini tukupeleke viwanja.....
nimekumbuka mamangu huwa tunatofautiana kidogo kwenye mavazi..... kila nikitokea ananikumbusha mimi ni muke ya mutu, namwambia 3/4 za nguo ninazovaa mnunuaji ni huyo mutu, ananiambia yeye hapendi..... mind you rafiki sijawahi kuvaa nguo inayovuka magoti, na ninasomewa hiyo risala.
sasa siku amekuja mujini nikampeleka hosp, akatokea binti na mimba yake, mamangu alitamani kumpa kanga avae...... akaniuliza"yaani huku mjini ndo mnavyovaa?", nikamwambia habari ndo hiyo, kwa hiyo ndo uone mimi mwanao navaa kiheshima sana, lol!
me love you sana tuuuuuu my dear friend
 

Usinikumbushe nilivyoweka kigauni fulani hivi kina vimaua vya puple ili nije nimpe mtoto wangu; kuja kuzaa ni bonge la dume what a 'disappointment' by that time which is God's appointment (blessing); anyway bado nimekiweka huenda wa pili akawa wa kike. LOL

Watakubali si unajua fashion zinarudi, na bahati nzuri hukushona limfuko so watasema mama/mkwe alikuwa juu! LOL
 
Nonsense!!!!!!
Mwali,
Without stupidity there can be no wisdom & without ugliness there can be no beauty. So the world needs YOU after all.
Mbona unatoa mapovu hovyo sasa? weka source ya ulicho sema hapa tusome.
Kama hakuna basi the world needs both of us, me in the role of beauty and wisdom
 

Yaani nimecheka kwa nguvu na niko peke yangu ofisini, nikiimagine mama anataka ampe kanga yake alojitanda.
Haya bwana, l give up maana vimini vya huku buzebazeba kumbe kwa mujini ni madera. LOL
 

Aisee hata mimi nimeiona sana hii kitu sana siku hizi, mpaka aibu, ila wengi wanaovaa hivyo huwa ni single hawajaolewa wamejazwa tuuu,
 
Hahahahahahahaa yaani umenichekesha Kaunga nakumbuka kipindi niko mjamzito kila nikipita sehemu nasema kigauni kile nitamnunulia mwanagu nikijifungu lkn mwenzio sikununua kabla basi baada ya kujifungua kumbe dume bado nilimpenda , nilibatika wa2 akawa mdada lol.
 
Last edited by a moderator:
ha haaaa, mwenzio nimekuwa clever.....
huwa sipendagi kujua sex ya mtoto kabla sijajifungua, kwa hiyo shopping za mwanzo huwa nguo zinakuwa unisex.....
kwa hiyo kila mtoto nimemwekea ki-unisex chake, haitakuwa kama yako....
hao wakamwana hawatanipa shida rafiki, kama hawatataka nguo ya mama mkwe wala haitaniumiza, after all wanaweza wasiwe na mwili kama wangu kwa hiyo zisiwatoshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…