Wajasiriamali needed

Bob Nash

Member
Aug 21, 2009
64
0
salaaam,
hivi majuzi nimeanza kuleta vitu kutoka UK, kamtaji sio kakubwa sana, ni vitu vya kina dada kwa kuanzia, mapochi, viatu, mapochi yako ya aina nyingi na viatu pia, ziko open, skuna wanaita wenyewe na kadhalika, sasa sababu ya muda mimi nilikua nahitaji waliokua wanafikilia kuanza au walikwisha anza huu ujasiliamali, aidha una ndugu au jamaa anaefanya hio kitu mimi nitawauzia bei ya jumla tu kutokana na quality ya kitu atakovokiona mnunuaji na market price yake, au other business arrangements can also be made, ni biasharakwahio tusifunge sana na misharti kibao, yaani tutaanzia pale mazungumzo yatakapokomea.
natanguliza shukrani,
ijumaa karim.
 
Back
Top Bottom