Wajasiriamali hawakati tamaa hata siku moja

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
ImageUploadedByJamiiForums1430901030.226644.jpg
 
Hii ni kweli kabisa,sehemu ninapofanya kazi,mmiliki wake alianza kuzalisha boksi moja ya hiyo bidhaa na kubeba kwa baiskeli kwenda kuuza dukani mwaka 1995.Leo hii anazalisha tani 25 kwa siku na kupakia semi kwa semi kwenda nchi mbali mbali.Kwa kweli kidogo kidogo hujaza kibaba
 
Anaweza kuwa bakresa huyo
 
Back
Top Bottom