Ayatollah the Bird
JF-Expert Member
- Jul 30, 2026
- 301
- 662
Nimepigwa matukio ya kutosha.ila sitakata tamaa naamin nitapata mwanadada sahihi.sahiv najiombe dua jema nakuamini ipo siku nitafanikiwa.
Pole mkuu hakuna mapenzi yaliyo muacha salam labda uwe mtoto wa mama ila kama ni mpambanaji, kawaida sana cha msingi usilazimishe penzi asipo kuuelewa jikalie pembeni usije pigwa kombola zito bureNimepigwa matukio ya kutosha.ila sitakata tamaa naamin nitapata mwanadada sahihi.sahiv najiombe dua jema nakuamini ipo siku nitafanikiwa.
Mkuu Mapenzi ni kama Mchezo (Game), unapaswa kujua principles zake ili uweze kuucheza vizuri. Hakuna mwanamke sahihi, ila wewe unaechagua ndio unapaswa uwe sahihi, ukiwa wewe upo sahihi inatosha sana.Nimepigwa matukio ya kutosha.ila sitakata tamaa naamin nitapata mwanadada sahihi.sahiv najiombe dua jema nakuamini ipo siku nitafanikiwa.
Hakikisha hadi unakata roho ndiyo uache kuendekeza penzi mkuu wangu.Vita ni kali sana.Nimepigwa matukio ya kutosha.ila sitakata tamaa naamin nitapata mwanadada sahihi.sahiv najiombe dua jema nakuamini ipo siku nitafanikiwa.
Ukiwa kwenye mchakato wa mapenzi relax bro usikaze sana, kisicho riziki hakiriki tujifunze KUACHA na kisonga mbeleMkuu Mapenzi ni kama Mchezo (Game), unapaswa kujua principles zake ili uweze kuucheza vizuri. Hakuna mwanamke sahihi, ila wewe unaechagua ndio unapaswa uwe sahihi, ukiwa wewe upo sahihi inatosha sana.
Mwanamke sahihi ni kama Pesa, hatafutwi bali Ila anategwa. Kuwa busy na issues zako then yupo binti utaona tu anajileta mwenyewe kwenye kilengeo. Kisha utafanya upembuzi yakinifu ili uone anasifa unazotaka au hana. Easy tu.
Be a Man.
Unacheki mtu mwingine unamkomalia mtu hakutaki mwisho akuueUnakatiaje tamaa raha za dunia mwanetu? ukiumizwa unaangalia ulipofeli unaamka unaanza upya!
Usikate tamaa endelea kusaka saka, ukikosa kabisa, angalia wa mtu umuibe......Nimepigwa matukio ya kutosha.ila sitakata tamaa naamin nitapata mwanadada sahihi.sahiv najiombe dua jema nakuamini ipo siku nitafanikiwa.
Bruh,unamuingiza relini ujue?Akijuta asikulaumu!Usikate tamaa endelea kusaka saka, ukikosa kabisa, angalia wa mtu umuibe......
Cha muhimu hakikisha unakula unashiba, unatafuta tafuta mpenzi huku umeshiba
Ajute na nini tena bro.....Bruh,unamuingiza relini ujue?Akijuta asikulaumu!
Nimekumbuka jamaa si alikuanzishia uzi kipindi fulaniKuna nini kwaniii?
Wadada simo nao tenaNimekumbuka jamaa si alikuanzishia uzi kipindi fulani
😂😂😂 hapanaNimekumbuka jamaa si alikuanzishia uzi kipindi fulani
Uko wapi sasa hivi?Usikate tamaa endelea kusaka saka, ukikosa kabisa, angalia wa mtu umuibe......
Cha muhimu hakikisha unakula unashiba, unatafuta tafuta mpenzi huku umeshiba