Abdulhalim Platinum Member Joined Jul 20, 2007 Posts 17,217 Reaction score 3,123 Jun 14, 2013 #21 Shs 500 bado ni kubwa ukilinganisha na spidi ndogo tunayopata kwene baadhi ya maeneo, kukatikakatika na wale wangine ambao inabidi mchana tununue bando nyingine ili maisha yaende.
Shs 500 bado ni kubwa ukilinganisha na spidi ndogo tunayopata kwene baadhi ya maeneo, kukatikakatika na wale wangine ambao inabidi mchana tununue bando nyingine ili maisha yaende.
Fadhili Paulo JF-Expert Member Joined Sep 1, 2011 Posts 3,211 Reaction score 996 Jun 14, 2013 #22 Nadhani cha kwanza leo nitashusha windows 8 kisha nitafute external hdd moja matata. Haya mabundi kazi kwetu tena.
Nadhani cha kwanza leo nitashusha windows 8 kisha nitafute external hdd moja matata. Haya mabundi kazi kwetu tena.
Joeli JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 4,941 Reaction score 3,414 Jun 14, 2013 #23 mabundi walipata mshituko mkubwa sana jamaa walivyoizima iyo huduma
Joeli JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 4,941 Reaction score 3,414 Jun 14, 2013 #24 great news kwa mabundi
nurbert JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 1,887 Reaction score 428 Jun 14, 2013 #25 C6 said: great news kwa mabundi Click to expand... ha Ha Haaaaaa Hata Mm Kama Kawaaa Wamentumiaaaa Attachments Scr000056.jpg 10.1 KB · Views: 85