Wajane shikamooni

Nawabariki wale tu ambao hawakuua waume zao.
^^
 
Mwenye pesa huwa HASEMI SASA NINA HELA...kila ukimuuliza atasema SINA HELA....Kinachoonyesha kuwa yupo safi ni life style yake, na yeye kupendeza....Umenipata




Umefafanua vizuri sana illuh. tatizo langu ni wao kualalamika ugumu wa maisha wakati unamuona kabisa mambo yake safi...
 
Mhhhhhhhhhh!! Hii imekuwa tofauti kwa mama yangu amekuwa mpweke sana mpaka amepata tatizo la BP ambapo awali hakuwa nalo,sijui ndo alipendana sana na baba?? Ila Mungu mwema anamtia nguvu anaanza kusahau sahau.
 
Poor Perception Man , yani kisa mtu amefiwa akingaa ndio useme yuko mawindoni? Unataka mtu atangaze shida zake kwa kuwa rough , amepauka, nguo zimechanika? You can mourn and still remain smart and attractive.

hey! hey! hey! have you gone through the mada kwa usahihi?

mleta mada anaonyesha namna usafi na urembo wa mwanamke mjane unavyozidi tofauti na mwanzo, na ni mtazamo wangu kwamba anawinda.

unaweza wewe kuwa sahihi kwamba anajiweka safi ila kwanini hakujiweka safi au kupendeza wakati mume wake akiwepo? inamaana alikuwa anapenda uchafu wakati huo? au mume ndio alikuwa anapenda uchafu?

au amepata maji mengi na nguo nzuri zaidi ya kipindi mume akiwa hai?
 
yani kuna shangazi yetu mmoja acha tu.....kapendeza balaa....yani kawa mzuri kanawiri.....sijui nini siri ya mafanikio.....au ndoa yake ilikuwa ndoano ila baada ya anko kufariki kapata nafuu......
Isije ikawa anaishi kwa matumaini maana ARV zinanenepesha. Theory nyingine ni kutumia uzazi wa mpango ili asije pata aibu kwa kupata mimba (effect ya uzazi wa mpango ni kunenepa mara nyingi). Ingawa inaaminika kuwa mwanamke akipata stress hunenepa maana kimbilio lake ni kufakamia misosi ilhali mwanaume akipata stress hukosa hamu ya misosi na kujikuta akikonda. Anything might be possible
 
Ukitaka uhakika wa hilo nenda kafanye risech maeneo ya kimara, na huko mbeya nenda soko matola na nonde;
ukaone wamama walivyonawiri baada ya kubaki wajane;

hata moshi wapo....
Na huwa najiuliza sana kwann haya maeneo uliyoyata kila nyumba unayoingia utakuta wajane tu???
 
manyanyaso na tambo zinakua zimekufa nae
mke anabaki kuwa huru
 
Hii mada nadhani si nzuri sana hasa kwa wanawake wa kizazi hiki, maana wanawake wa kizazi hiki wakishasoma tu hii mada na kujihaminisha, anaweza kumuua mume wake ikiwa watatofautiana kidogo tu!
 
Ukitaka uhakika wa hilo nenda kafanye risech maeneo ya kimara, na huko mbeya nenda soko matola na nonde;
ukaone wamama walivyonawiri baada ya kubaki wajane;

Jamani huku kunawiri kwa ghafra kwa baadhi ya wajane hakuna uhusiano wa karibu na matumizi ya ARVs?
Najaribu kufikiria tu kwa sauti,kupitia maandishi na hadi nje ya boksi.
 
Hilo nalo ni neno.
Jamani huku kunawiri kwa ghafra kwa baadhi ya wajane hakuna uhusiano wa karibu na matumizi ya ARVs?
Najaribu kufikiria tu kwa sauti,kupitia maandishi na hadi nje ya boksi.
 
Maneno yako ni sawia.Ila,hapo kwenye mkazo wa rangi panafikirisha zaidi.
 
Basi ni taabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…