Wajane shikamooni

Daaa! Usilolijua ni sawa na. ......

Uliyeleta uzi huu Mungu akusaidie yasikukute. Kila laheri
 
yani kuna shangazi yetu mmoja acha tu.....kapendeza balaa....yani kawa mzuri kanawiri.....sijui nini siri ya mafanikio.....au ndoa yake ilikuwa ndoano ila baada ya anko kufariki kapata nafuu......
 
Daaa! Usilolijua ni sawa na. ......

Uliyeleta uzi huu Mungu akusaidie yasikukute. Kila laheri

Naifikiri utakua umenielewa vibaya. Sina maana hiyo uliyoifikiria.
 

Umefafanua vizuri sana[MENTION] illuh[/MENTION]. tatizo langu ni wao kualalamika ugumu wa maisha wakati unamuona kabisa mambo yake safi...
 
Ukitaka uhakika wa hilo nenda kafanye risech maeneo ya kimara, na huko mbeya nenda soko matola na nonde;
ukaone wamama walivyonawiri baada ya kubaki wajane;

HIVI KWA NINI KIMARA KUNA WAJANE WENGI,KINA BWASHEE MPO?:shut-mouth:
 
i mean when the huuby is gone,gone forever,never to see him again.when the kids have no one to call father.you will prove my point

Naelewa sana tu coz naishi dunia hii hii yenye machafuko mengi.Bahari imechafuka sana tu....kuna baadhi ya mizigo watu wamebeba moyoni lakin once anapoutua anapata relief.

Ndo utaona mtu anapata nuru....watu kilichowafunga ni hio ndoa tu lakini wana shida sana na kutoka anaona aibu +jamii itamuonaje anakubali kufa na tai shingoni.
 
yuko mawindoni


Poor Perception Man , yani kisa mtu amefiwa akingaa ndio useme yuko mawindoni? Unataka mtu atangaze shida zake kwa kuwa rough , amepauka, nguo zimechanika? You can mourn and still remain smart and attractive.
 

Dah. sina chakuongeza hapo. Najua hauko single.
 
Umefafanua vizuri sana illuh. tatizo langu ni wao kualalamika ugumu wa maisha wakati unamuona kabisa mambo yake safi...

How do u rate kuwa mambo ya mtu ni safi? kwa kunawiri na kupata lipstick? Au anamaanisha karo za watoto na kodi ya nyumba inampiga chenga. Mkuu inaonekana mtu akiomba hela kwako inabidi nguo zake ziwe chakavu, amekonda nk?
 
Mie ninatofautiana kidogo na wenzangu waliotangulia kutoa hoja zao

WANAUME ni wenye upendo kutoka rohoni ndo maana wakifiwa na wake zao, part of them is gone!, wanayauka na waksiposaidiwa...wanawafuata wake zao peponi/kuzimu.
Na kushindilia hoja yangu kwenye dini ya kikristo.....imesemwa wanaume wapendeni wake zenu. Wanawake ...watiini waume zenu!

Sasa WANAWAKE ,ni shidaaa! Yaani mume akifa anakuwa kama daktari wa zahanati anayebonyeza kengele mgonjwa mwingine aingie!
 
How do u rate kuwa mambo ya mtu ni safi? kwa kunawiri na kupata lipstick? Au anamaanisha karo za watoto na kodi ya nyumba inampiga chenga. Mkuu inaonekana mtu akiomba hela kwako inabidi nguo zake ziwe chakavu, amekonda nk?

Hapana, kuna vitu vidogo tu unaangalia kwa mtu yeyote...mavazi inaweza ikawa kipimo au isiwe. Mtu anavyotembea, muonekano wake na hata maongezi. Kama halimbaya hata ukivaa vizuri upendezi na hata ukipaka lotion kopo zima hung'ai. wanawake wengi wanapenda kuvaa madini kama gold n.k. viatu na mikoba wanayobeba pia nikikuangalia ntakujua tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…