Kwa kweli nimevumilia lakini wacha tu niulize... nimekua nikiona sana sana wanawake wengi wakiingia kwenye ujane wengi wao wanapendeza na kunawiri sana tofauti na hapo awali kabla ya kuondokewa (kufiwa) na waume zao. Wanaume huwa kwa kweli wengi huwa wakiondokewa (kufiwa) na wake zao huwa wanachanganyikiwa...wanakua rough na kukosa muelekeo. Kama kuna jamaa yangu amefariki hana hata mwaka ... juzi nikakutana na mke wake kidogo nimpite...kwa kweli sikumjua. Amependeza kweli. mahipsi yemechomoza balaa. Alafu cha kushangaza anaanza kunielezea ugumu wa maisha bila mme wake..yaani alichokua anaongea na ukimtizama jinsi alivyonona na kunawiri ni tofauti.

wanaume wengine majanga....ukali moto,masharti ya kipimbi tuuu.kila mke afanyalo baya,hela ya matumizi hatoi na hataki mke afanye jambo lakumuingizia pesa.yaan majanga
Wanaume wengine majanga....ukali moto,masharti ya kipimbi tuuu.Kila mke afanyalo baya,hela ya matumizi hatoi na hataki mke afanye jambo lakumuingizia pesa.Yaan majanga
Wanaume hujisahau
Ila wanaume huwa ni tegemezi sana kwa mwanamke ndio maana huchanganyikiwa, mfano utakuta mwanaume anamtegemea mwanamke, kumpikia, kumfulia, kumpigia pasi, Mshauri wake ..kila kitu yeye anakuwa mtoto na mke kama mama..so mwanamke akiondoka lazima mwanaume achanganyikiwe...
Ila panaoondoka baadhi ya wanaume wanawake hunawiri sababu utakuta baba yeye alichokuwa anakijua ni kumpa tuu mama hela au kumuwekea mama hela mezani...Vingine hakuna...Wanaume wengi wanaishi na wake zao kama Madicteta nyumbani...Baba akiwepo watoto, mama wanakuwa waoga, Baba akiwepo nyumbani hakuna tabasamu, hakuna utani, baba yeye ni ubusy ubusy na yeye...Lazima siku akiondoka mwanamke awe huru japo atakuwa amemis Mshobobo tu. Na ukichangia tena wanawake wa leo wanafanya kazi tena hela wanapata ndio baas atanawiri hasa..
Ukitaka uhakika wa hilo nenda kafanye risech maeneo ya kimara, na huko mbeya nenda soko matola na nonde;
ukaone wamama walivyonawiri baada ya kubaki wajane;
aisee,u luk strong eh?
Like...................
bigggg likeMwanaume akifa mke hunano maana huwa anapunguziwa majukumu. ila kwa wanaume mke akiondoka majukumu huzidi.
alafu hata ule uwogo kuwa mme wangu hataki nivae hivi nile chipsi unakuwa haupo anajiachia na kuchanua.
mkuu wanaume wengi hutesa wake zao na kuwapa stress pindi wawapo hai mwanamke akili inamchanganya kuwa mume anacheat mwili haukaii vizuri... sasa mkifa hapo sasa anakuwa hana kinachompa stress sasa bibi ni kupendeza wewe
hakuna mchagga anaeweza kusikitikia hili suala la kufiwa na mume....(sorry)