kifinga
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 5,249
- 9,621
mkuu ura ile wanagawa tu kutangaza saccos yao usiogope hata gari yako binafsi wanaweza kukupa.Mr, ukiona unapata shida kung'amua ofisi ya gari wewe soma stika utajua.
Unaweza kuta Gari haina cha PT wala. MT
Lakini stika nyuma imeandikwa URA Basi jiongeze kuwa ni Gari ya polisi.
Halafu c Kila wakikatiza Wana mission
Acheni kuwa overrated Hao..