Wajameni haya magari ya Idara gani?

Wajameni haya magari ya Idara gani?

Amekula tinted, sasa we jipendekeze! Hao wenye magari hayo aliwaweza mtu mmoja tu, Peter Zakaria!
huo uchokozi sasa. Magu wa watu kajipumzikia huko. Mnamuanza haua mimi simo!
 
acha speculation tiss wanatumia stk na namba za kawaida kazi za tiss zinahitaji ku blend in sasa tiss akijianika hivyo si anahalibu mission
Mr, ukiona unapata shida kung'amua ofisi ya gari wewe soma stika utajua...

Unaweza kuta Gari haina cha PT wala. MT
Lakini stika nyuma imeandikwa URA Basi jiongeze kuwa ni Gari ya polisi...

Halafu c Kila wakikatiza Wana mission
Acheni kuwa overrated Hao..
 
Back
Top Bottom