Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,190
- 29,937
- Thread starter
- #21
Tume ya ucgaguzi si serikali?Baba mdogo wangu ni dereva wa tume ya uchaguzi plate namba yake ni ya muundo huo huo!!!Unakuta leo kaja na stk,kesho namba ya kawaida, kesho yake plate kama iyo kwenye picha? But yeye anamuendasha jamaa wa Tume ya Uchaguzi
Kwa nini wajifiche usajili, kuna nini nyuma yake?