mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,135
Ghorofa alikua analimiliki kitambo tu aliuziwa na Chama cha Ushirika lkn serikali ilikua inarudisha mali za ushirika zilizouzwa kiholela,so jamaa nadhani alikua anazingua kuwarudishia.So yule bwana alilitaka lile ghorofa nini chanzo cha kumpelekea wasiojulikana
Chanzo cha kumpelekea wasiojulikana sikijui mzee baba.