Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 17,589
- 28,570
Nauliza tu!
Maana sizu hizi yamekuwa mengi!
Niuliza tena, hivi namba hizi zipo kule Vehicle Registration TRA?
Mkuu haya magari yenye namba ambazo si za kawaida inabidi ziwe wazi.Picha ya 24/11/2020 umesubiri mpaka leo kupost online umevuta muda hivi ili mwenye gari asikukamate
View attachment 1645419
Nauliza tu!
Maana sizu hizi yamekuwa mengi!
Niuliza tena, hivi namba hizi zipo kule Vehicle Registration TRA?
Maafisa vipenyo wa Makumbusho . Kuna namba zingine zinaanza na SP plate # nyeusiView attachment 1645419
Nauliza tu!
Maana sizu hizi yamekuwa mengi!
Niuliza tena, hivi namba hizi zipo kule Vehicle Registration TRA?
Idara ya watu wasiojulikanaView attachment 1645419
Nauliza tu!
Maana sizu hizi yamekuwa mengi!
Niuliza tena, hivi namba hizi zipo kule Vehicle Registration TRA?
Tutangaziwe basi.Maafisa vipenyo wa Makumbusho . Kuna namba zingine zinaanza na SP plate # nyeusi
Hahaha kwani unaogopa nini?Tutangaziwe basi.
Mbona wanatumia namba maalumu, au kwa sasa wanataka kujulikana..Idara ya watu wasiojulikana
Kujua namba za magari si kosa zile unazozifiria wewe zina za kawaida kabisa na tutakaa nazo mtaani bila kuzijua.Wangekuwa hawataki zijulikane wangelibandika za kawaida nami niliwahi kuuliza nikaambiwa ni gari za Tume ya Uchanguzi TanzaniaMbona wanatumia namba maalumu, au kwa sasa wanataka kujulikana..
For intimidation purpose only..Mbona wanatumia namba maalumu, au kwa sasa wanataka kujulikana..
Hilo jibu hali kidhi.Kujua namba za magari si kosa zile unazozifiria wewe zina za kawaida kabisa na tutakaa nazo mtaani bila kuzijua.Wangekuwa hawataki zijulikane wangelibandika za kawaida nami niliwahi kuuliza nikaambiwa ni gari za Tume ya Uchanguzi Tanzania
Ni kweli kabisa.Zimekuwa nyingi sana recently sijui ni za kina nani mkuu.
Zingine numberplate yake nyeusi.
Bodi ya MikopoView attachment 1645419
Nauliza tu!
Maana sizu hizi yamekuwa mengi!
Niuliza tena, hivi namba hizi zipo kule Vehicle Registration TRA?
Ili ukiyaona uyalipue auTutangaziwe basi.
Nadhani nia yako hasa ni kuanzisha mjadala jinsi "police state" inavyojengwa na kuimarishwa. Ni vyema, kabla ya ile siku wabongo watakaposhtuka hata kukohoa hakuwezekani!View attachment 1645419
Nauliza tu!
Maana sizu hizi yamekuwa mengi!
Niuliza tena, hivi namba hizi zipo kule Vehicle Registration TRA?