SieHuyu ndie yule sheikh sharifu aliyezaliwa huko maorogoro akiwa anasoma quran tangu siku ya kwanza bila kufundishwa?
Hivi hawa masharifu huwa wanaishia wapi?Huyu ndie yule sheikh sharifu aliyezaliwa huko maorogoro akiwa anasoma quran tangu siku ya kwanza bila kufundishwa?
Wanakufa.Hivi hawa masharifu huwa wanaishia wapi?
Hapana sio huyuHuyu ndie yule sheikh sharifu aliyezaliwa huko maorogoro akiwa anasoma quran tangu siku ya kwanza bila kufundishwa?
Ukiwa Mkristo hodari mwenye Imani thabiti kabisa,huyu anapigwa ganzi ya kiwango cha kimataifa,na tunguli zake zisimfae kitu.Imani kwa Yesu inamaliza kila kitu kiovu.
Kweli kabisa mkuu umenena.Huyo na wale manabii walioenda kuchukua form lao moja tu, hakuna mwenye majini wala Yesu hapo.
Mtumishi wa Bwana anahudumia watu wa vyama vyote, hatakiwi kuwa na upande ili aweze kukemea, kushauri au kuonya upande wowote unapoenda kinyume. Wakikatwa wataendelea kuwa wachungaji huku wakinadi sera zao na kuhubiri kwa wakristo wa vyama tofauti makanisani.
Mtawatambua kwa matunda yao.
Hawana lolote hawa ni matapeli wa wajinga tuWaja mna mambo sanaView attachment 1509127
maneno tu. si ukristu wala uislamu wala dini inamaliza uovu wote. kumbuka kama wewe ni muumini wa mungu haqta uou umeumbwa na mungu.Ukiwa Mkristo hodari mwenye Imani thabiti kabisa,huyu anapigwa ganzi ya kiwango cha kimataifa,na tunguli zake zisimfae kitu.Imani kwa Yesu inamaliza kila kitu kiovu.