toka juzi angalau leo binam kuna kajua jua japo asubuh ilitusabahiMadame S na mamaafacebook, tanga kuna mvua....????
toka juzi angalau leo binam kuna kajua jua japo asubuh ilitusabahi
Ilikuwa si haba...
Madame S na mamaafacebook, tanga kuna mvua....????
ni jambo la kumshukuru Mungu...mvua inanyesha
kweli....?Jamani na mie wa muheza
kweli....?
Sehemu gani! Relini?, muheza estate? Teule? Kibanda? Au kwa hamza Mafua!???
ni jambo la kumshukuru Mungu...
karibu moshi mahaba yalipoanzia kuelekea tanga