Waitara

kingmaker

Member
Oct 21, 2010
51
2
Nimepata habari ambazo sio za kudhibitisha ya kuwa mmoja wa wapambanaji mahiri wa Chadema Waitara ni miongoni ya waliopoteza maisha. Tunaomba wenye habari zaidi watueleze. Cha kushangaza niliona kama picha yake na viongozi wengine kwenye maandamano lakini jina lake halikuwepo kwenye orodha ya washtakiwa.
 
Nimeliona jina hilo kwenye orodha ya waliouwawa kwenye mojawapo za threads humu JF. Sikuunganisha dots. Na kama ni yeye basi it is even sadder. RIP mpambanaji.
 
Nimepata habari ambazo sio za kudhibitisha ya kuwa mmoja wa wapambanaji mahiri wa Chadema Waitara ni miongoni ya waliopoteza maisha. Tunaomba wenye habari zaidi watueleze. Cha kushangaza niliona kama picha yake na viongozi wengine kwenye maandamano lakini jina lake halikuwepo kwenye orodha ya washtakiwa.

kama mnamaanisha ni CHACHA MWIKABE MWITA WAITARA.....mmoja wa makada ,diwani huko tarime na kiongozi wa chadema ...kuna haaja ya CHADEMA na dola kumtaka akanushe haraka kama sio yeye......jueni kuwa hizi tetesi zikifika TARIME tu watu wataingia mitaani na mapanga...
this issue is sensitive securitywise!!!!!
 
ni kweli tuombe asije akawa waitara huyu tunayemjua manake hali itakuwa mbaya zaidi na machungu ya kunyang'anywa ubunge wetu wa tarime yote yataishia kwao
 
Kwa hiyo mnanambia kuwa huyo mliedhani amekufa uhai wake una thamani zaidi kuliko aliyekufa ki - kweli kwa sababu aliyekufa "is just an enterpreneur from Sakina area". You are letting me down people!! Hebu fikirini kidogo kabla hamjaanzisha mada na kabla hamjachangia, please.
It hurts me most because nina uhusiano wa kidugu na marehemu huyo!!

Sure...Sio yeye..Ni majina tu kushabihiana.
Huyu alliyeuwawa ni mJASIRIAMALI anayeishi Arusha eneo la SAKINA!...right?
 
No ni kutaka kujua ukweli, wanayemuongelea ana maslahi na watu wa tarime kwa sasa so ni kama kuleta attention ya nini kitatolea kama ni yeye. Kama sio yeye maanake inaendelea kutuuma kama wana mageuzi matamko yetu yameeleweka sasa na bado ngoja tukae tujipange tena upya
 
Sio yeye. Kwani yeye (aliyegombea ubunge & former President of DARUSO) anaitwa Mwita Mwikwabe Waitara na sio George Mwita Waitara.
 
Kwa hiyo mnanambia kuwa huyo mliedhani amekufa uhai wake una thamani zaidi kuliko aliyekufa ki - kweli kwa sababu aliyekufa "is just an enterpreneur from Sakina area". You are letting me down people!! Hebu fikirini kidogo kabla hamjaanzisha mada na kabla hamjachangia, please.
It hurts me most because nina uhusiano wa kidugu na marehemu huyo!!

Nani kasema uliyodhania, watu walikuwa wanataka ufafanuzi tu hakuna aliye furahia kilichompata bwana Gerorge Mwita
 
Kwa hiyo mnanambia kuwa huyo mliedhani amekufa uhai wake una thamani zaidi kuliko aliyekufa ki - kweli kwa sababu aliyekufa "is just an enterpreneur from Sakina area". You are letting me down people!! Hebu fikirini kidogo kabla hamjaanzisha mada na kabla hamjachangia, please.
It hurts me most because nina uhusiano wa kidugu na marehemu huyo!!
Pole sana ndugu, ila sidhani kama aliyekufa hana thamani ila mtoa mada alihitaji tu ufafanuzi kutokana na majina kushabihiana.
 
Kwa hiyo mnanambia kuwa huyo mliedhani amekufa uhai wake una thamani zaidi kuliko aliyekufa ki - kweli kwa sababu aliyekufa "is just an enterpreneur from Sakina area". You are letting me down people!! Hebu fikirini kidogo kabla hamjaanzisha mada na kabla hamjachangia, please.
It hurts me most because nina uhusiano wa kidugu na marehemu huyo!!
Umeenda kwenye hisia zaidi kuliko dhana ya mleta mada!

Binadamu wote ni sawa kabisa , hakuna aliyepinga hilo...kwanini unahisi ndugu yako anakuwa under-rated?..kuna aliyetamka hilo?

Kitu kimoja unachosahau, ni kuwa watu tunatofautiana katika nafasi zetu za kiwajibu humu duniani...Kuna wengine wanaishi wakihudumia watu zaidi, na hivyo wanajulikana zaidi..Wengine shughuli zao ni za HBO(Home Box Office) zaidi, na hivyo hawafahamiki na jumuia kubwa ya watu!..hilo halina maswali!
Sasa ukisikia watu wanauliza kuwa .."ni yupi huyo?", basi wanachotafuta ni hayo niliyouliza hapo juu, lakini hawana nia ya kumdaharau au kumthamini zaidi mtu fulani...kama utakuwa unapenda kuelewa nadhani umeelewa..

Pole kwa msiba na Asante kwa uelewa~!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom