Sasa hapo si na yeye kamuita jamaa yake Mshamba? Kuna siku moja nilitukanwa, basi Mwalimu akaniuliza, amekutukaneje? Nikajibu.....kilichotokea sitakisahau. Kwahio huyu nae nikikutana nae tena pale Nefaland Hotel kama siku zile tutamalizana.
Dunia nzima washamba huwa awapewi lesseni ya udereva kuepusha haya ya kuangusha GARI.Washamba huwa awajiamini,washamba ni waoga,uamini matumizi ya nguvu kuwanyamazisha abiria, hawana exposure,
Hata ufanyaje nyeupe haiwezi kua nyeusi..kama mshamba ni mshamba tu cha muhimu ni kujifunza na kukubali kubadilika kwani hata hao wajanja wa sasa hivi kuna muda walikua washamba..ukilazimisha kujifanya unajua na kukomaa utabaki na ushamba wako...
Elimu zetu hazitufundishi kuvumiliana hivi kauli za tunamalizana na unakwenda tafsiri yake nn au kumalizana na unakwenda na maji ni kwa baadhi ya watu hivi siku ikiwa pande zote mbili kama neno kumalizana inavyotaka patakalika kweli