Kwenye giza mnamalizana? Tanesco hakikisheni umeme haukatiki.
Hata ufanyaje nyeupe haiwezi kua nyeusi..kama mshamba ni mshamba tu cha muhimu ni kujifunza na kukubali kubadilika kwani hata hao wajanja wa sasa hivi kuna muda walikua washamba..ukilazimisha kujifanya unajua na kukomaa utabaki na ushamba wako...
Sura ya Waitara na maneno yake ni ya kijambazi, hivyo simshangai!WATAKACHOFANYWA WANAOMUITA RAIS MAGUFULI MSHAMBA
"Halafu kuna watu wanamuita Rais Magufuli mshamba, hawa ndio wale ambao ukikutana hao kwenye Giza mnamalizana.....Serikali yoyote makini ikishaamua hakuna mjadala, iwe unalia iwe unacheka unatakiwa kwenda" - amesema naibu waziri TAMISEMI Mwita Waitara akizungumza kwenye ziara yake Halmashauri ya wilaya ya Makete
Siyo giza la sebuleni hilo wewe! Ila bora amesema mapema maana atakayepotea kwenye giza hatutauliza tena nani mhusika.Kwenye giza mnamalizana? Tanesco hakikisheni umeme haukatiki.
HahahahaKwenye giza mnamalizana? Tanesco hakikisheni umeme haukatiki.
Wacha weeee !!!WATAKACHOFANYWA WANAOMUITA RAIS MAGUFULI MSHAMBA
"Halafu kuna watu wanamuita Rais Magufuli mshamba, hawa ndio wale ambao ukikutana hao kwenye Giza mnamalizana.....Serikali yoyote makini ikishaamua hakuna mjadala, iwe unalia iwe unacheka unatakiwa kwenda" - amesema naibu waziri TAMISEMI Mwita Waitara akizungumza kwenye ziara yake Halmashauri ya wilaya ya Makete
safi sana ili dharau iishe daadeekHalafu kuna watu wanamuita Rais Magufuli mshamba, hawa ndio wale ambao ukikutana hao kwenye Giza mnamalizana.....Serikali yoyote makini ikishaamua hakuna mjadala, iwe unalia iwe unacheka unatakiwa kwenda" - amesema naibu waziri TAMISEMI Mwita Waitara akizungumza kwenye ziara yake Halmashauri ya wilaya ya Makete
yapWacha weeee !!!
Hata alipokuwa Chadema alikuwa na sura hiyo hiyo, haijabadilika.Sura ya Waitara na maneno yake ni ya kijambazi, hivyo simshangai!
Ndiyo sababu alinunuliwa na wapenzi wa ujambazi! CHADEMA haikuwa sehemu sahihi kwake!Hata alipokuwa Chadema alikuwa na sura hiyo hiyo, haijabadilika.
Ha ha ha, akiwa huku ni kamanda akiwa kule ni jambazi. Upuuzi mtupu.Ndiyo sababu alinunuliwa na wapenzi wa ujambazi! CHADEMA haikuwa sehemu sahihi kwake!
chadema ni kama kapu la takataka linajaziwa takataka likijaa zinenda kumwagwa siyo kuwa hazitaki ila anazitaka takazake ila zimejaa tuuNdiyo sababu alinunuliwa na wapenzi wa ujambazi! CHADEMA haikuwa sehemu sahihi kwake!
Jambazi ni jambazi tu hata awe wapi! Waitara ni jambazi!!Ha ha ha, akiwa huku ni kamanda akiwa kule ni jambazi. Upuuzi mtupu.