Waitara: Wafuatao wanahama CHADEMA

kidum chama cha chadema kidum.
yangu macho najua baada ya kaul hii yajayo yatafurahisha tupo tayari kuyasikia
 
Wanajuana siyo bure hivi mgogoro gani huo ambao mbowe apandikize kwa akina Komu? Millya? Nao wanautaka uenyekiti au huyo Japhary sijui kubenea nonsense, hapa anatuambia kuwa hao bado wanabargain au wameshafika bei sasa wanatafuta namna ya kutoka
 
Ni chama kipi ambacho kina democrasia ya kweli Tanzania? Chama kinachofanya uchaguzi huru na wa kishindani unafanyika chama gani?
CHADEMA mbona demokrasia ipo kila siku uchaguzi unafanyika watu wanashindana.
 
Sasa yeye inamuuma kitu gani huyo mfia tumbo?
 
Tunajua kahama ila muulizeni kwa nn anakuwa na kiwewe akati kishahama,Tunajua hofu aliyonayo ila mwambieni pia tunajua anaipenda CHADEMA kutoka rohoni mkitaka kuamini Hilo Muulizeni Emmanuel Nchimbi huyu jamaa anapingana na ukweli
 
Si wahame wote tuanze upya mbona sasa wanatupasua Vichwa.
Na ukifuatilia kwa umakini hii ni picha iliyopangwa vizuri na watawala na ndiyo maana hiyo interview kaenda kuifanyia kwa mwenyekiti wa ccm
 
Na wasipo hama asije kukimbia. Alivyo wataja ndio kaharibu sasa hawata hama maana ame wa expose.
Huyu jamaa ni bichwa tupu sasa anaona aibu ndio maana anatapatapa tu akili zake sawa na tbc
 
Kama wanasimamia maslahi yao watahama....kama ni wananchi watabakia kuwatumikia
 
Waende tu machumia tumbo hayo! Halaf hivi 'migogoro' anayoisema Waitara kuwa ipo Chadema ni ipi?
 
Na Mbowe hatoki ng"oooo maccm yataishia kumaliza kodi za wavuja jasho bure
 
Na hii ndio target kubwa kwa sasa, watanunuliwa sana, sababu itakuwa ni mbowe

Chadema wakikubal kumuondoa mbowe bas wanapandikiziwa mtu kutoka CCM kama vile walivyopandikiziwa MWENYEKIT WA BAVICHA
Kina lyatonga wapo wengi sana
 
Umetema dhahabu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…