Waitara: Wafuatao wanahama CHADEMA

Waitara: Wafuatao wanahama CHADEMA

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,498
Reaction score
28,720
Leo katika kipindi cha Tuongee Asubuhi cha StarTV aliyekuwa mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara amewataja wabunge ambao wapo njiani kujiondoa Chadema na kujiunga na CCM au kuacha Siasa. Amewataja wabunge hao kuwa ni Anthony Komu (Moshi Vijijini), Japhary Michael (Moshi Mjini), Saeed Kubenea (Ubungo), na James Ole Millya (Simanjiro).
_
"Napenda nikuhakikishie kuwa Komu, Japhary, Kubenea na Millya watahama Chadema muda wowote kuanzia sasa kwa sababu ya migogoro iliyosababishwa na Mbowe. Na kama hawatahama basi watastaafu siasa." Amenukuliwa Waitara.

Nini maoni yako?
 
Lengo ni mbowe aachie uenyekiti. Mbowe ndio kikwazo cha kuisambaratisha cdm .Na nafikiri ccm wana mtu wao ,pandikizi limeandaliwa tayari. WAKISIKIA MBOWE KAACHIA UENYEKITI BASI WATASHEREHEKEA.Mambo mawili yatatokea mosi kupandikuza mgogoro ktk mchakato wa kumpata mkitI mpya au kuhakikisha wanaweka mtu wao. TUSUBIRI!
 
Ni chama kipi ambacho kina democrasia ya kweli Tanzania? Chama kinachofanya uchaguzi huru na wa kishindani unafanyika chama gani?
 
Back
Top Bottom