Waitara, umekula ya mbuzi, lazima uote mapembe!

Hashpower7113

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
1,353
2,137
Oyaa! Hepi new year wanangu wa nguvu, twente tweni hiyo ishatimba, kama vipi laifu linasonga, big up kwa Sir God kwa kutufanya tuendelee kusavaivu kibishi nini.

Mazee mwaka umeanza na mbilinge kama zote, kuna ishu moja inanifurahisha kinoma! Kuna huyu mwamba, Mwito Weita, yule MP wa kipande cha Ukonga nini ambaye baadaye alikula shavu la nguvu kwa mzee baba hapo kati Magogoni, akaukwaa u-minista kwenye cabinet.

Iko hivi, huyu mwamba aligombea for the first time 2015 hiyo, upepo wa mamvi ukamfanya mwamba ashinde japo kwa mbinde kwelikweli! Ukawa moja hiyo, mwamba akatimba mjengoni kama masihara.

Ishu haikuwa nyepesi kwa ukonga kuchukuliwa na Ukawa, palichimbika ileile, sema kwa sababu masela wengi walikuwa Ukawa, waliamua kama mbwai mbwai, wakajitoa mhanga kulinda kura nini na baadaye jamaa akaibuka kidedea.

Huku na kule, mara paap! Mwamba akachomoka Ukawa, tena ile kimazabe kinomanoma. Mwamba akakiharibia kinomanoma Chadema kilichomtoa, akasilibia Ukawa ileile na akatangaza kurejea Lumumbani nini, daah! Bonge moja la disappointment kwa masela wake waliokesha kulinda kura kipindi cha mauchaguzi!

Jimbo likawa wazi nini, mauchaguzi yakaitishwa tena, kwa kibri mwamba akatangaza tena kuwania, safari hii kwa tiketi ya Lumumbani, watu khaa! Haiwezekani. Kura zikapigwa kimagutumagutu, mwamba si akashinda tena, huyoo akarejea mjengoni, kama picha la Kihindi vile.

Mara buu, baaah, na uminista juu! Upewe nini tena, mwamba akajiona kayapatia maisha nini, akawa anaendelea kuleta za kuleta kwa wana wa Ufipa, ile Waswahili wanayosema kunyea kambi, basi mwamba alikata gogo ufipani, tena ile kiroho mbaya.

Sasa mbishe za mauchaguzi si zimekaribia twente tweni hii, mwamba akashtukia kwamba kumbe amekimbia mpaka akapitiliza kwao! Tayari kuna mshua wa Lumumbani ameshatengenezwa kugombea tena pale Ukonga nini, kwa hiyo mwamba ni kama hana chake!

Akaona haiwezekani, akatoka nduki mpaka kihomu kwao, kileji huko Mara ndanindani nini, si akajisumu na kutangaza kwamba kama vipi atagombea kwa tiketi ya kijani? Wana wakamwambia usitunanie wewe, kale ulikopeleka mboga.

Unaambiwa cheamani wa Lumumbani kipande hicho, Sam Kiboya, yule mwamba mtata hivi, eeh, huyohuyo, akamuwakia kinomanoma, unatangazaje wakati katiba haisemi hivyo?

Jamaa kamchimba bonge la mkwara kwamba kama vipi amevunja katiba na lazima afikishwe mbele ya pilato wa kijani, mwamba kanywea, anahanya hajui hata ashike wapi. Ukonga moto, kileji moto, Lumumbani moto ufipa ndiyo hawataki hata kumsikia.

Oya muraa, malipo ni hapahapa duniani! Ulikula ya mbuzi, lazima uote mapembe, tulia dawa ikuingie, acha kurukaruka kama maharagwe yanayoiva.
 
Nimependa mwandiko wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akomee...
 
maharagwe yaloiva huwa yanatwamaa chini....ambayo hayajaiva ndo huruka rukaaaa...ukiongeza moto yanatuliaa 🤣
 
Hahahah. Timu imekosa uwanja wa nyumbani, mwamba kasanda hajui timu yake ikachezee wapi washabiki pande zote wamemkaushia
 
Umetishaaa andiko zuri sana
 
Aliongoza mjadala wa kufungia uhamisho wa watumishi.Atafuata nyayo za gasia labda awe anabahati ya mtende.Naota waliounga juhudi watapigwa chini na wenye chama chao wataendelea na yao,kuwapa ubunge ilikuwa ni chukizo kwa makada waliofia chama muda mrefu,ile sura sijui ataiweka wapi aombe mungu zali Liwe kwake,mkulu ambembe.
 
Oyaa! Hepi new year wanangu wa nguvu, twente tweni hiyo ishatimba, kama vipi laifu linasonga, big up kwa Sir God kwa kutufanya tuendelee kusavaivu kibishi nini.

Mazee mwaka umeanza na mbilinge kama zote, kuna ishu moja inanifurahisha kinoma! Kuna huyu mwamba, Mwito Weita, yule MP wa kipande cha Ukonga nini ambaye baadaye alikula shavu la nguvu kwa mzee baba hapo kati Magogoni, akaukwaa u-minista kwenye cabinet.

Iko hivi, huyu mwamba aligombea for the first time 2015 hiyo, upepo wa mamvi ukamfanya mwamba ashinde japo kwa mbinde kwelikweli! Ukawa moja hiyo, mwamba akatimba mjengoni kama masihara.

Ishu haikuwa nyepesi kwa ukonga kuchukuliwa na Ukawa, palichimbika ileile, sema kwa sababu masela wengi walikuwa Ukawa, waliamua kama mbwai mbwai, wakajitoa mhanga kulinda kura nini na baadaye jamaa akaibuka kidedea.

Huku na kule, mara paap! Mwamba akachomoka Ukawa, tena ile kimazabe kinomanoma. Mwamba akakiharibia kinomanoma Chadema kilichomtoa, akasilibia Ukawa ileile na akatangaza kurejea Lumumbani nini, daah! Bonge moja la disappointment kwa masela wake waliokesha kulinda kura kipindi cha mauchaguzi!

Jimbo likawa wazi nini, mauchaguzi yakaitishwa tena, kwa kibri mwamba akatangaza tena kuwania, safari hii kwa tiketi ya Lumumbani, watu khaa! Haiwezekani. Kura zikapigwa kimagutumagutu, mwamba si akashinda tena, huyoo akarejea mjengoni, kama picha la Kihindi vile.

Mara buu, baaah, na uminista juu! Upewe nini tena, mwamba akajiona kayapatia maisha nini, akawa anaendelea kuleta za kuleta kwa wana wa Ufipa, ile Waswahili wanayosema kunyea kambi, basi mwamba alikata gogo ufipani, tena ile kiroho mbaya.

Sasa mbishe za mauchaguzi si zimekaribia twente tweni hii, mwamba akashtukia kwamba kumbe amekimbia mpaka akapitiliza kwao! Tayari kuna mshua wa Lumumbani ameshatengenezwa kugombea tena pale Ukonga nini, kwa hiyo mwamba ni kama hana chake!

Akaona haiwezekani, akatoka nduki mpaka kihomu kwao, kileji huko Mara ndanindani nini, si akajisumu na kutangaza kwamba kama vipi atagombea kwa tiketi ya kijani? Wana wakamwambia usitunanie wewe, kale ulikopeleka mboga.

Unaambiwa cheamani wa Lumumbani kipande hicho, Sam Kiboya, yule mwamba mtata hivi, eeh, huyohuyo, akamuwakia kinomanoma, unatangazaje wakati katiba haisemi hivyo?

Jamaa kamchimba bonge la mkwara kwamba kama vipi amevunja katiba na lazima afikishwe mbele ya pilato wa kijani, mwamba kanywea, anahanya hajui hata ashike wapi. Ukonga moto, kileji moto, Lumumbani moto ufipa ndiyo hawataki hata kumsikia.

Oya muraa, malipo ni hapahapa duniani! Ulikula ya mbuzi, lazima uote mapembe, tulia dawa ikuingie, acha kurukaruka kama maharagwe yanayoiva.

Bashite kila jimbo anataka Mara kawe,ubungo,ukonga,kwao,wampe yote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom