Uchaguzi 2020 Waitara: Nimeisambaratisha CHADEMA Ukonga, sasa nahamia Tarime Vijijini

Naibu Waziri wa TAMISEMI Mwita Waitara, amesema kuwa mpaka sasa hivi amekwishamaliza kazi kubwa ndani ya Jiji la Dar es Salaam ya kukisambaratisha Chama cha CHADEMA, na kwa sasa ameweka wazi kwa mara nyingine kuwa atakwenda kugombea ubunge katika jimbo la Tarime Vijijini mkoani Mara kupitia chama hicho.

Waitara amesisitiza kuwa haondoki Ukonga kwa sababu anamkimbia mtu, bali amekamilisha kazi ya kukisambaratisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), hivyo anakwenda Tarime Vijijini ambako ndipo anapotokea, kufanya kazi hiyo.

“Wala hakuna mtu ninayemkimbia, jimbo langu [Ukonga] lipo salama ndani na nje ya chama. Nimeshafanya kazi ya kuwasambaratisha CHADEMA hapa wameshapoteana. Walikuwa na Meya wa Jiji, hayupo, walikuwa na Meya Ilala, hayupo, walikuwa na Meya wa Ubungo, hayupo. Nishamaliza kazi Dar es Salaam, naenda kukamilisha kazi sehemu nyingine,” amesema Waitara.

Kiongozi huyo ambaye alihamia CCM akitokea CHADEMA Julai 2018 amesema kuwa Julai 14 mwaka huu atachukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Tarime Vijijini, na kwamba suala hilo sio siri.
CHADEMA ijitafakari hivi iliwezaje kuwaamini watu kama hawa? Na bado wapo wengi kwenye chama mmojawapo aliyeondoka hivi karibuuni ni lijuakali
 
Daaa yaani kuna watu hapa jf hawajui mbunge flani anatokea sehemu flani daa ahahaaa😄
 
Naibu Waziri wa TAMISEMI Mwita Waitara, amesema kuwa mpaka sasa hivi amekwishamaliza kazi kubwa ndani ya Jiji la Dar es Salaam ya kukisambaratisha Chama cha CHADEMA, na kwa sasa ameweka wazi kwa mara nyingine kuwa atakwenda kugombea ubunge katika jimbo la Tarime Vijijini mkoani Mara kupitia chama hicho.

Waitara amesisitiza kuwa haondoki Ukonga kwa sababu anamkimbia mtu, bali amekamilisha kazi ya kukisambaratisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), hivyo anakwenda Tarime Vijijini ambako ndipo anapotokea, kufanya kazi hiyo.

“Wala hakuna mtu ninayemkimbia, jimbo langu [Ukonga] lipo salama ndani na nje ya chama. Nimeshafanya kazi ya kuwasambaratisha CHADEMA hapa wameshapoteana. Walikuwa na Meya wa Jiji, hayupo, walikuwa na Meya Ilala, hayupo, walikuwa na Meya wa Ubungo, hayupo. Nishamaliza kazi Dar es Salaam, naenda kukamilisha kazi sehemu nyingine,” amesema Waitara.

Kiongozi huyo ambaye alihamia CCM akitokea CHADEMA Julai 2018 amesema kuwa Julai 14 mwaka huu atachukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Tarime Vijijini, na kwamba suala hilo sio siri.
Ujinga na jamaa atakuwa mjinga na mpumbavu. Ili umsambaratishe mtu au kikundi flani ni lazima ukwamishe mipango yao, sasa kwa kuwakwamisha viongozi halali walio chaguliwa na wananchi katika kutekeleza wajibu wa kuleta maendeleo kwa wananchi ni kutukwamisha sisi wananchi.
Waitara, usijisifie kwa hilo, tunahitaji hoja na sio kukwamishana.
 
Naibu Waziri wa TAMISEMI Mwita Waitara, amesema kuwa mpaka sasa hivi amekwishamaliza kazi kubwa ndani ya Jiji la Dar es Salaam ya kukisambaratisha Chama cha CHADEMA, na kwa sasa ameweka wazi kwa mara nyingine kuwa atakwenda kugombea ubunge katika jimbo la Tarime Vijijini mkoani Mara kupitia chama hicho.

Waitara amesisitiza kuwa haondoki Ukonga kwa sababu anamkimbia mtu, bali amekamilisha kazi ya kukisambaratisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), hivyo anakwenda Tarime Vijijini ambako ndipo anapotokea, kufanya kazi hiyo.

“Wala hakuna mtu ninayemkimbia, jimbo langu [Ukonga] lipo salama ndani na nje ya chama. Nimeshafanya kazi ya kuwasambaratisha CHADEMA hapa wameshapoteana. Walikuwa na Meya wa Jiji, hayupo, walikuwa na Meya Ilala, hayupo, walikuwa na Meya wa Ubungo, hayupo. Nishamaliza kazi Dar es Salaam, naenda kukamilisha kazi sehemu nyingine,” amesema Waitara.

Kiongozi huyo ambaye alihamia CCM akitokea CHADEMA Julai 2018 amesema kuwa Julai 14 mwaka huu atachukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Tarime Vijijini, na kwamba suala hilo sio siri.
Kwani DC Kisarawe anasemaje juu ya hili suala?
 
Ooh! Kumbe! Mi nilijua anataka kuwatumikia wananchi,kumbe ulikuwa unasambaratisha chama?!so,watanzania wa kawaida kuna kitu wamepata hususani maendeleo yyt kufuatia kuisambaratisha cdm?

Basi ni hivi,kama Mungu aishivyo,unamalizia awamu hii,na hutarudi! Kama Mungu aishivyo!u ll never ever! Na nakufuta!

Tunahitaji viongizi wanaojielewa ,maono mapya,ubunifu nk kwa ajili yamaendeleo,sio wanaosambaratisha wengine!

Sent using Jamii Forums mobile app

Una uchungu sana aiseee, siasa inaumiza sana usipokua makini nayo
 
Ahahahaaaa ukipenda vichekesho hivi bonyeza #lumumbamentor * kitawezeshwa kwenye masikio yako
 
Nchi hii kuna wanasiasa wanashangaza kweli.

Kwahiyo kazi aliyotumwa na wananchi ni kuisambaratisha CDM..
 
Naibu Waziri wa TAMISEMI Mwita Waitara, amesema kuwa mpaka sasa hivi amekwishamaliza kazi kubwa ndani ya Jiji la Dar es Salaam ya kukisambaratisha Chama cha CHADEMA, na kwa sasa ameweka wazi kwa mara nyingine kuwa atakwenda kugombea ubunge katika jimbo la Tarime Vijijini mkoani Mara kupitia chama hicho.

Waitara amesisitiza kuwa haondoki Ukonga kwa sababu anamkimbia mtu, bali amekamilisha kazi ya kukisambaratisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), hivyo anakwenda Tarime Vijijini ambako ndipo anapotokea, kufanya kazi hiyo.

“Wala hakuna mtu ninayemkimbia, jimbo langu [Ukonga] lipo salama ndani na nje ya chama. Nimeshafanya kazi ya kuwasambaratisha CHADEMA hapa wameshapoteana. Walikuwa na Meya wa Jiji, hayupo, walikuwa na Meya Ilala, hayupo, walikuwa na Meya wa Ubungo, hayupo. Nishamaliza kazi Dar es Salaam, naenda kukamilisha kazi sehemu nyingine,” amesema Waitara.

Kiongozi huyo ambaye alihamia CCM akitokea CHADEMA Julai 2018 amesema kuwa Julai 14 mwaka huu atachukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Tarime Vijijini, na kwamba suala hilo sio siri.
Kwa hakika atarudi mtaani mapema October.
 
Anazani Tarime kuna wanaume kama wa dar ..... Atapigwa asubuhi tuu hata amini
Chadema ya leo Ukuryani kote , Serengeti naTarime imeny'ong'onyea sana. Haya usemayo ni ya siku za nyuma sana. Matokeo ya uchaguzi ya 2020 ndio yatamaliza ubishi, Watch out,
 
Naludia tena kusema Mwita Waitara asijaribu kugombea jimbo moja na John Heche la Tarime Vijijini, Waitara atapigwa asubuhi tuu hana ubavu wa kushindana na Heche
 
Ukipata muda nitafute nikupe namba za wakazi zaidi ya wa nne wa Tarime, uongee nao, inaweza kukupa mwanga wa hali halisi ya kisiasa.

Ni vyema tukajua hali halisi na itatupunguzia kukataa matokeo au malalamiko yasiyo na msingi.
Hali ya Chadema 2015 sio ilivyo 2020. Nimetoka kuwasiliana nao muda huu kabla sijaandika mesage hii. Na wanasema wazi kama uwezekano wa Waitara kushinda Ubunge angekuwa mdogo angebaki Jimbo la Ukonga.
Na kwa taarifa tuu Jimbo la Ukonga ni Tarime ndogo. Mkurwa yeyote anazo kura za kuanzia.
 
Dah kweli chadema ni wachawi. Huyu mdingi ni mzima kweli? Mbona kama amerogwa! Kuna kitu hakiko sawa kichwani
 
Back
Top Bottom