YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,908
- 51,907
Kuna maKanisa huzaliwa hukua na hufa .Kanisa la gwajima lilizaliwa likakua sasa linaelekea kufani. Mbunge sehemu yake ya kujadili bajeti ni bungeni sio kanisani.Kama yote yamesemwa huko, kweli hili kanisa ni kikundi cha Segere.
Haitakiwi kueleza hata bajeti ya serikali katika kanisani.